Hivi mch mwingila unachofanya na huyo mshirika wako rose unaona vema? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi mch mwingila unachofanya na huyo mshirika wako rose unaona vema?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by All TRUTH, Jan 2, 2012.

 1. All TRUTH

  All TRUTH JF-Expert Member

  #1
  Jan 2, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 3,277
  Likes Received: 985
  Trophy Points: 280
  Jamani nimeangalia taarifa ya habari itv leo saa mbili nimesikitika kuona mchungaji mwingira na mshirika wake rose wanavyowatesa wanakijiji kwa kuwanyang;anya wanakijiji maeneo yao na kuwabomolea. Hivi kweli huo ni uchungaji kweli?
   
 2. h

  hereiamnow Member

  #2
  Jan 2, 2012
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  manabii wa uongo hao!
  1 Yohana 2:3,4
   
 3. Lighondi

  Lighondi JF-Expert Member

  #3
  Jan 2, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 585
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Na mtawatambua kwa matendo yao
   
 4. Thomas Odera

  Thomas Odera Verified User

  #4
  Jan 2, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 644
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Ilitabiriwa tangu zamani kuhusu manabii wa uwongo ila ya Kaisari apewe Kaisari
   
 5. MJIMPYA

  MJIMPYA JF-Expert Member

  #5
  Jan 2, 2012
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Ndg mwanzisha thread, ni vyema ukaeleza story nzima si wote tumeona hiyo habari. Utafanya watu watoe maoni ambayo wasingeyatoa kama ungetoa full story walau kama ilivotoka ITV bila kuweka upendeleo wako.

  Ni bahati mbaya watu wanaleta story zilizochakachuliwa na zinapotosha umma.
   
 6. D

  Dereck Tito Senior Member

  #6
  Jan 2, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 102
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Mimi kinachoniumiza zaidi ni wakati akiombea, sijui wenzangu wana jf kama mlishaangaliaga vipindi vyake kwenye TV. Niliona akimvuta mwanamama mmoja akamzungusha na kumwangusha chini; kisha akamkanyaga na kumsukuma kama gogo. Hivi hili ni sawa kwa wale mnaoamini kweli? Hebu nisaidieni!!!
   
 7. Kiziza

  Kiziza JF-Expert Member

  #7
  Jan 2, 2012
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 440
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Anaitwa Mwingira sio Mwingila,halafu majina ya watu tumia herufi kubwa,unatutia aibu guest members wanaposoma.
   
 8. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #8
  Jan 2, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,558
  Likes Received: 12,831
  Trophy Points: 280
  wanajilimbikizia mali za kidunia
  ngoja mbele ya hukumu
  sie tutachomwa lakini
  wao watakuwa kuni zetu!!!!!

  Fake pastors indeed
   
 9. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #9
  Jan 2, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,558
  Likes Received: 12,831
  Trophy Points: 280
  huyu mnyang'anyi
  haina haja ya kuandika
  kwa herufi kubwa !!
  Hizo ndogo zinatosha
  mbona yeye hawaheshim hao anaowadhulum?
   
 10. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #10
  Jan 2, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Je kama wananchi wamevamia eneo lake, awaachie tu sababu yeye ni mchungaji?

  Unless utuwekee story yote hapa.
   
 11. Kiziza

  Kiziza JF-Expert Member

  #11
  Jan 2, 2012
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 440
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kama ni mnyang'anyi ama sio mnyang'anyi anajua ye mwenyewe na Mungu wake.
  Ila kuandika majina ya watu kwa herufi ndogo bado ni makosa,najua anafahamu ila nilikuwa namkumbusha tu.
   
 12. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #12
  Jan 3, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,558
  Likes Received: 12,831
  Trophy Points: 280
  na mungu wake ambaye
  ni shetan sio oook
   
 13. kitonsa

  kitonsa JF-Expert Member

  #13
  Jan 3, 2012
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 245
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Mimi mwenyewe shamba langu limevamiwa pande hizo natamani ningekuwa na gun nikawalipue uwezo sina tu.Polisi wana sema kila mtu alinde shamba lake wao hawana uwezo wa kulinda mashamba.Sasa unataka Mwingira awahachie shamba?
   
 14. grey

  grey Senior Member

  #14
  Jan 3, 2012
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 159
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  bi dada;
  Ni vema sana kabla mtu hujaongea uwe na sufficient information about the subject matter especially when it touches men of God. Do you have any proof over this quote.? Laana nyingine huwa mnajitafutia tu!
   
Loading...