Hivi mbunge huyu wa Chadema hajampigia kweli kura Anne makinda?

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,342
6,467
ndesa_makinda.jpg


HabariLeo | Gwiji la Habari Tanzania
 
Mods, fanyeni ukarabati kidogo kwenye hii picha ni kubwa sana.
Ila kweli inaonekana kampa kura yeke huyu.
 
hawa wabunge wa chadema inaonesha wanapenda kumbatiwa au kukumbatia maspika ?


jee wenyewe kwa wenyewe mkumbatio wao ukoje ?

na jee hii haioneshi kua hawa wako karibu zaidi na ccm kuliko cuf?
 
Kwani tunachagua Spika kwa kuangalia CHAMA au uwezo wake wa kufanya kazi za USPIKA?, Katiba ya CHADEMA inakataza kumpigia Kura mgpmbea asiye chama cha CHADEMA?
 
mara nyingi hua nakua mgeni hasa linapokuja suala la kuintapret picha:doh:
 
Back
Top Bottom