Ralphryder
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 4,933
- 1,294
Eti anasema utaratibu wa kuwawajibisha wote wanaokwenda kinyume na matakwa na katiba ya chadema, watatimuliwa, na akaenda mbali zaidi na kudai hata yeye akienda kinyume basi kamati kuu imuondoe! Maswali muhimu:
1.Kamati kuu ni akina nani?
2, Mbona umechakachua katiba ya chadema na hujaondolewa?
3, Je ni kweli utaondoka ukiamriwa na hiyo kamati kuu!? Source: nilikuwa Mwanza mkutanoni.
1.Kamati kuu ni akina nani?
2, Mbona umechakachua katiba ya chadema na hujaondolewa?
3, Je ni kweli utaondoka ukiamriwa na hiyo kamati kuu!? Source: nilikuwa Mwanza mkutanoni.