Hivi, Mbowe, did you mean what you said?

Ralphryder

JF-Expert Member
Nov 16, 2011
4,931
1,290
Eti anasema utaratibu wa kuwawajibisha wote wanaokwenda kinyume na matakwa na katiba ya chadema, watatimuliwa, na akaenda mbali zaidi na kudai hata yeye akienda kinyume basi kamati kuu imuondoe! Maswali muhimu:
1.Kamati kuu ni akina nani?
2, Mbona umechakachua katiba ya chadema na hujaondolewa?
3, Je ni kweli utaondoka ukiamriwa na hiyo kamati kuu!? Source: nilikuwa Mwanza mkutanoni.
 
Mhuni huyo, achana naye. Yeye na watu wa kaskaz wanavunja katiba yetu ya chama kila siku. Akawaambie watu wa Moshi maneno hayo. Mbona wamegang'ania kanda za ziwa na magharibi kwani kaskaz wamebariki uonevu kwa ZZK?
 
Kwani kamati kuu ni yeye mwenyewe?. Amechakachua kitu gani ndani ya katiba?. wewe ni kijana kuwa mzalendo kuliokoa Taifa lako na usipende kutumwa kwa maslahi ya Mafisadi.
 
Eti anasema utaratibu wa kuwawajibisha wote wanaokwenda kinyume na matakwa na katiba ya chadema, watatimuliwa, na akaenda mbali zaidi na kudai hata yeye akienda kinyume basi kamati kuu imuondoe! Maswali muhimu:
1.Kamati kuu ni akina nani?
2, Mbona umechakachua katiba ya chadema na hujaondolewa?
3, Je ni kweli utaondoka ukiamriwa na hiyo kamati kuu!? Source: nilikuwa Mwanza mkutanoni.

did you do what you mean?
 
Aisee unachanganyikiwa vibaya sana wewe kicheche pori..
 
Eti anasema utaratibu wa kuwawajibisha wote wanaokwenda kinyume na matakwa na katiba ya chadema, watatimuliwa, na akaenda mbali zaidi na kudai hata yeye akienda kinyume basi kamati kuu imuondoe! Maswali muhimu:
1.Kamati kuu ni akina nani?
2, Mbona umechakachua katiba ya chadema na hujaondolewa?
3, Je ni kweli utaondoka ukiamriwa na hiyo kamati kuu!? Source: nilikuwa Mwanza mkutanoni.

per diem ya LB7 kutoka kigoma hadi mwanza. tehe!
 
Eti anasema utaratibu wa kuwawajibisha wote wanaokwenda kinyume na matakwa na katiba ya chadema, watatimuliwa, na akaenda mbali zaidi na kudai hata yeye akienda kinyume basi kamati kuu imuondoe! Maswali muhimu:
1.Kamati kuu ni akina nani?
2, Mbona umechakachua katiba ya chadema na hujaondolewa?
3, Je ni kweli utaondoka ukiamriwa na hiyo kamati kuu!? Source: nilikuwa Mwanza mkutanoni.

Your account is insufficient to ask such questions......
 
Mbowe anadhani huu uhuni wake wa kutafuna ruzuku za chama haujashtukiwa na watanzania!
 
Umemumuonea wapi akitafuna ruzuku zako mbowe tajiri ntangu mababu zake hela ya ukoo hiyo chezea mbowe ww!
 
Eti anasema utaratibu wa kuwawajibisha wote wanaokwenda kinyume na matakwa na katiba ya chadema, watatimuliwa, na akaenda mbali zaidi na kudai hata yeye akienda kinyume basi kamati kuu imuondoe! Maswali muhimu:
1.Kamati kuu ni akina nani?
2, Mbona umechakachua katiba ya chadema na hujaondolewa?
3, Je ni kweli utaondoka ukiamriwa na hiyo kamati kuu!? Source: nilikuwa Mwanza mkutanoni.

Huyo jamaa akili zake ndogo form 6 leaver huyo!
 
image.jpg Kumbe ulikuwa sehemu ya umati huu.....Hongera kwa kushiriki usijejikuta umeachwa solemba na akina Taswira ...
 
Mbowe anadhani huu uhuni wake wa kutafuna ruzuku za chama haujashtukiwa na watanzania!

Mkuu mbowe ni tajiri wa siku nyingi, wewe na familia yako yote mkijumlisha mali zote mlizochuma tangu uzao wa babu yako hamuwezi kufikia robo wa utajiri wa MBOWE, WE KAKOJOE TU ULALE.. Utaishi kulalama na ruzuku ya ml 200 wakati mbowe anaingiza ml 200 kwa weeki..
 
Waraka wa siri wa Mnyika, Mbowe ame endose Zito ashughulikiwe ikiwezekana auawe!!! Duuh!!!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom