Hivi mbona VODA na TIGO zimekuwa ghali sana???

SirBonge

JF-Expert Member
Jul 18, 2010
378
435
Jamani mwenzenu siku hizi nikiweka vocha hazikai na matumizi ni yale yale tu, kwani gharama zimeongezeka au?? na mbona ni kimya kimya?
 
Ninachofahamu Voda wanachaji shilingi mia kwa dakika moja. Na Shilingi 59 kwa sms moja.
 
wakuu airtel charges zao zipo hivi
saa 6.00 am - 5.00pm 1 tsh per sec
saa 5.00pm-10.00pm 2.5 tsh per sec
saa 10.00pm-6.00am 0.25 tsh per sec.

note:airtel kwenda airtel

ndugu naomba kujuzwa kuhusu voda na tigo
 
WanaJF nasikitishwa na kushangazwa sana na TIGO kwa sasa jinsi gharama za kuongea hata tigo kwenda tigo zilivyopanda!! Kwanini imekua hivi? Yaan dakika 4 Tshs.1000!!? Wadau nisaidieni?
 
Voda ndio wezi balaa! Nadhani ya makampuni yote tunatakiwa kukogoma maana hawa viongozi wetu wanaongwa na makampuni ya simu hivyo hawawezi kufanya kitu.
 
na bado nchi ishamegwa vipande vipande. wengine wako kwa rostam, wengine lowassa na wengine kwa chenge. Asa nyie mlionunuliwa na lowassa na rostam ndo mtakoma, heri yetu tuliouzwa kwa m.kwere na chenge
 
Jamani mwenzenu siku hizi nikiweka vocha hazikai na matumizi ni yale yale tu, kwani gharama zimeongezeka au?? na mbona ni kimya kimya?

Tatizo nimeliona kwa Tgo ukiweka vocha inalika bila hata kutumia huduma yoyote kwa mara 3 salio langu linatoweka situmii ring tone caller au upokeaji wa sms za taarifa yoyote. Voda, sijao tatizo sana na tarif zao, wapo na ughali fulani lkn ukifuata tarif yao wapo poa
 
Mitandao imeungana sasa ina dictate bei! vile vita vya kushusha bei mpaka zero vimekwisha wengine wamegundua watakufa very soon so wameamua kukaa meza moja na kukubaliana bei elekezi
 
Back
Top Bottom