Airtel nao ni balaa!Hamia airtel wewe ndugu jamaa na marafiki...mtandao unaolipa kodi
hz sio kampeni za kuhamia. . . kweli?
kweli aise,me nikiweka inaisha kabla sijapiga
Wcha hutani, Haiwezekani hi!!!!!kweli aise,me nikiweka inaisha kabla sijapiga
Jamani mwenzenu siku hizi nikiweka vocha hazikai na matumizi ni yale yale tu, kwani gharama zimeongezeka au?? na mbona ni kimya kimya?