Hivi mbona sisikii cheo cha Makamu wa Rais Rwanda, Uganda, Congo DRC, na Burundi kama navyosikia Kenya na Tanzania.

Freed Freed

JF-Expert Member
Jun 27, 2017
6,221
6,461
Habari kwenu wadau.

Mada hapo juu yajidadavua. Hiki cheo cha umakamu wa Rais mbona sikisikii kwa ndugu zetu wa maziwa makuu kama inavyosikia Kenya na Tanzania?

Je cheo hiki kipo kwa hawa ndugu na jirani zetu?
 
Uganda kipo na makamu wa sasa anaitwa Edward Sekandi, kabla yake alikuwa Amama Mbabazi ambaye walikorofishana na Museveni baada ya kuonyesha nia ya urais uchaguzi uluiopita na pia alikuwa katibu mkuu wa chama tawala. Alishindwa vibaya kwenye uchaguzi. Kuna uvumi anataka kurudishwa u makamu wa raisi na Museveni.

Rwanda hakuna hiyo position iliondolewa. Zamani makamu alikuwa Kagame, baadaye katiba ilivyobadilishwa nafasi hiyo ikafutwa

wengine angalia katiba zao.
 
Mbona husikii cha Waziri Mkuu Marekani? Kwani ulishawahi kusikia cha Katibu wa Itikadi na Uenezi ambacho kimsingi ni cheo cha kusema uongo hadharani huko katika vyama kama Republican, Conservative, etc? Ni suala la mfumo; kwamba mmechagua aina gani ya mfumo uwaongoze.
 
Uganda kipo na makamu wa sasa anaitwa Edward Sekandi, kabla yake alikuwa Amama Mbabazi ambaye walikorofishana na Museveni baada ya kuonyesha nia ya urais uchaguzi uluiopita na pia alikuwa katibu mkuu wa chama tawala. Alishindwa vibaya kwenye uchaguzi. Kuna uvumi anataka kurudishwa u makamu wa raisi na Museveni.

Rwanda hakuna hiyo position iliondolewa. Zamani makamu alikuwa Kagame, baadaye katiba ilivyobadilishwa nafasi hiyo ikafutwa

wengine angalia katiba zao.
Amama Mbabazi alikuwa waziri mkuu bwana.
 
Hivi mbona sisikii cheo cha Makamu wa Rais Rwanda, Uganda, Congo DRC, na Burundi kama navyosikia Kenya na Tanzania.

Hivi mbona sisikii maraisi wanaojiongezea mihula ya uongozi Kenya na Tanzania kama ninavyosikia huko Rwanda, Uganda, Congo DRC, na Burundi?
 
South Africa wana deputy president na anakwenda Bungeni
Marekani makamu wa Rais anakwenda bungeni

Sisi makamu wa Rais ndo alikuwa waziri mkuu
tulipaswa kufuta uwaziri mkuu na makamu aende bungeni...
badala yake tuna makamu ambae yuko kama picha na waziri mkuu anaeenda bungeni

Waziri mkuu akiondolewa zamani wakati wa Nyerere anaweza kuwa waziri wa kawaida
but siku hizi uwaziri mkuu umekuwa too big...ndo maana hata kama kachokwa
hatolewi....sababu ukimtoa unampa cheo gani?
tungefuta uwaziri mkuu
 
Habari kwenu wadau.

Mada hapo juu yajidadavua. Hiki cheo cha umakamu wa Rais mbona sikisikii kwa ndugu zetu wa maziwa makuu kama inavyosikia Kenya na Tanzania?

Je cheo hiki kipo kwa hawa ndugu na jirani zetu?

Mbona sisikii Rais kwa ndugu zetu wa nchi za madola kama Australia, Canada na New Zealand?
 
Kwahyo hta Marekani yule makamu wao wa urais kawekwa na CCM mkuu?
Marekani hawana Waziri Mkuu, hapa kuna Waziri Mkuu, Makamu wa Rais na Rais, pia uchumi wa Marekani ni mkubwa mara millioni 5 kuliko uchumi wa serikali ya CCM na viwanda vyake vya cherehani.
 
Kwani mleta mada aliongelea cheo cha Waziri Mkuu au Makamu wa Rais?
 
Back
Top Bottom