Dk. Shein ni msomi mzuri sana amepiga shule ujeruman na phd yake ni ya ukweli si ya kuunga style yake ya kazi ni kama mkapa& lowasa type si watu wanaopenda kuzurura ulaya wanapenda kufanya kazi kwa ukarbu na wananchi ndani ya nchi unajua ata ugomvi wa jk na lowasa ulianza hivi...jk alkuwa anasafri sana nje na lowasa anazunguka kila wilaya kuhamasisha utendaji ...watu wa karbu na jk wakamwambia wewe unashnda ulaya daily mwenzako lowasa anapta wilayani na ktk mikoa na kwa sasa wakuu wa wilaya na mikoa wanamheshmu kulko wewe na anapanga safu 2010 anataka agombee urais bifu likaanza so dk.shein si desturi yake kuwa hewan daily kama baba naniiiiiiiiii....
Mtu mwene 'PhD' halafu akiwa mwanaCCM thamani ya hiyo PhD inashuka thamani kwa 90 %../jamani mwacheni Shein msimbugudhi. kwanza naweza kusema ndiye raisi wa tanzania mwenye Dr by phd ya kusomea tofauti na hawa wenye Dr eti kwa honoraria. hapa ndipo ninapomkumbuka prof Toli Mbwete aliyesema Mkapa na Kikwete waache kujiita ma Dr kwani hawana sifa za kutumia prefix hiyo.
Anaona aibu sana
Mtu mwene 'PhD' halafu akiwa mwanaCCM thamani ya hiyo PhD inashuka thamani kwa 90 %../
Hivi wewe mleta mada nani kakuambia kuwa kwenda ulaya sana ndo kujua kiingereza?? Kwa kukusaidia juu ya huyu mtu unayehisi kuwa ni mburura soma hapa
maelezo mafupi kuhusu dr. shein , kisha pima kama hajui hicho kiingereza chako unachosema , kwani ulaya (ng'ambo) hajaanza kwenda leo na kumbuka ufanisi wa kiongozi haupimwi kwa kwenda sana nje ya nchi wala kujua sana kingereza mfano: rais wa china, rais wa urusi,rais wa ufaransa rais wa ujerumani na mataifa mengine uyajuayo wewe kawaulize kama kujua sana kiingereza au kwenda xana nje ya nchi ndo utasikika sana , kisha utapata majibu.
Mjue dr. shein japo kwa ufupi tu itakusaidia.
Shein completed his secondary education at Lumumba College, Zanzibar. In 19691970 he joined Preparatory Faculty, Voronezh State University, USSR for A Level High Education before he took an undergraduate course from 19701975 at Odessa State University, USSR 19841988. Dr. Shein attained A Master of Science in Medical Biochemistry at the Medical School University of Newcastle England, U.K. Dr.Shein was awarded Doctor of Philosophy (PhD) in Clinical Biochemistry and Metabolic Medicine, specializing in Inborn Errors of Metabolism. He also studied HIV/AIDS in Developing Countries at the University of East Anglia.
Dr.Shein worked as a Clerk at the Ministry of Education and Assistant to the Deputy Principal Secretary from May 1969 September 1969. In 19761984 he was Head of the Department of Diagnosis and the Department of Patgy at the Ministry of Health. He was also Specialist in Diagnosis and Head of the Department of Pathology, Ministry of Health from 19891991. From Nov. 1991 July 1995 Dr.Shein served as a Programme Manager, AIDS Prevention Project at the Ministry of Health, and Advisor to the Ministry on Laboratory Services and Diagnosis. Dr. Shein was appointed by the President of Zanzibar to be Member of the House of Representatives on 29 October 1995. He was then appointed Deputy Minister of Health on 12 November 1995.From 6 November 2000 he was Member of the House of Representatives at Mkanyageni Constituency in Zanzibar before appointed to be a Minister of State, Presidents Office, Constitution and Good Governance in Zanzibar on 22 November 2000 and later on Vice President of Tanzania July 2001.[SUP][2][/SUP]
umenifurahisha sana,labda kwa sababu katika nchi hii yeye ni kama mkuu wa mkoa
To be fair ,viongozi toka Z'bar ,toka zamani ni waadirifu.
MAFISADI wote ni toka Tanganyika,nini sisi Watangayika inabidi kuwa sort out
Post yako inaonesha uezo wako wa mafikara na u mtu wa namna gani/kwaiyo ulitaka awe chama gani? Cha mapdre na wapiga disco? Wasanii na wauaji? Mburula wa kutoa datas bila research? Spoonfeeded by hamad rashid au? Hawezi kujiunga na chama hicho cha kihuni, hakina ata hadhi ya kuwa chama cha siasa!
Kwenda uingereza sio lazima ujue english, rais wa china kashaenda marekani na hazungumzi kizungu anadumisha lugha ya kwao.
mi pia nishawai kujiuliza swali ilo sana