Texas Tom.
JF-Expert Member
- Jun 8, 2013
- 510
- 273
Labda kwa sababu nchi yake sio 'nchi'
View attachment 97670
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na madaktari wa kichina waliofika ikulu mjini zanzibar kumuaga baada ya kumaliza muda wao wa kazi.
Hana viwalo. Kwani alishawahi pata ofa ya suti?