Hivi mbona simsikii Dk. Shein akizuru Ulaya? Au hajui kingereza?


Status
Not open for further replies.
Jalood

Jalood

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2012
Messages
750
Points
0
Jalood

Jalood

JF-Expert Member
Joined Dec 13, 2012
750 0
Kwa taarifa tu karibuni alikuwa China na sasa hivi Yuko UK
 
sungusungu

sungusungu

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Messages
2,991
Points
1,500
sungusungu

sungusungu

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2012
2,991 1,500
Dk. Shein ni msomi mzuri sana amepiga shule ujeruman na phd yake ni ya ukweli si ya kuunga style yake ya kazi ni kama mkapa& lowasa type si watu wanaopenda kuzurura ulaya wanapenda kufanya kazi kwa ukarbu na wananchi ndani ya nchi unajua ata ugomvi wa jk na lowasa ulianza hivi...jk alkuwa anasafri sana nje na lowasa anazunguka kila wilaya kuhamasisha utendaji ...watu wa karbu na jk wakamwambia wewe unashnda ulaya daily mwenzako lowasa anapta wilayani na ktk mikoa na kwa sasa wakuu wa wilaya na mikoa wanamheshmu kulko wewe na anapanga safu 2010 anataka agombee urais bifu likaanza so dk.shein si desturi yake kuwa hewan daily kama baba naniiiiiiiiii....
Umesema LOWASA yeye ni nani katika nchi hii?
 
contact

contact

Member
Joined
Jan 13, 2011
Messages
39
Points
70
Age
30
contact

contact

Member
Joined Jan 13, 2011
39 70
Mayb safar zisizo na ulazimu pesa huwa anaibank itamsaidia bdae na wanawe kama anao
 
N

nsee a muro

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2012
Messages
241
Points
0
Age
40
N

nsee a muro

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2012
241 0
jamani mwacheni Shein msimbugudhi. kwanza naweza kusema ndiye raisi wa tanzania mwenye Dr by phd ya kusomea tofauti na hawa wenye Dr eti kwa honoraria. hapa ndipo ninapomkumbuka prof Toli Mbwete aliyesema Mkapa na Kikwete waache kujiita ma Dr kwani hawana sifa za kutumia prefix hiyo.
 
Abdulhalim

Abdulhalim

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2007
Messages
16,550
Points
1,500
Abdulhalim

Abdulhalim

JF-Expert Member
Joined Jul 20, 2007
16,550 1,500
jamani mwacheni Shein msimbugudhi. kwanza naweza kusema ndiye raisi wa tanzania mwenye Dr by phd ya kusomea tofauti na hawa wenye Dr eti kwa honoraria. hapa ndipo ninapomkumbuka prof Toli Mbwete aliyesema Mkapa na Kikwete waache kujiita ma Dr kwani hawana sifa za kutumia prefix hiyo.
Mtu mwene 'PhD' halafu akiwa mwanaCCM thamani ya hiyo PhD inashuka thamani kwa 90 %../
 
nngu007

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Messages
15,871
Points
1,225
nngu007

nngu007

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2010
15,871 1,225
Anaona aibu sana


[h=3]Rais Wa Zanzibar Dr Ali Shein Awasili Salama Nchini China,Aanza Ziara Ya Kikazi[/h]Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Mkewe Mama Mwanamwema Shein,pamoja na ujumbe aliofuatana nao wakiwasili katika uwanja wa ndege wa Beijing nchini china kwa ziara ya mualiko wa Serikali wa Jamhuri hiyoRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi Mdogo wa China nchini Tanzania anayefanyia kazi zake Zanzibar Bibi Chen Qiman, mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Beijing nchini china kwa ziara ya mualiko wa Serikali wa Jamhuri hiyoRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Maofisa wa Ubalozi wa Tanzania Nchini China,katika VIP katika uwanja wa ndege wa Beijing nchini china kwa ziara ya mualiko wa Serikali wa Jamhuri hiyoRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na mkewe Mama Mwanamwema Shein,wakiwa katika mapunziko mfupi katika Chumba cha Viongozi wakuu VIP,walipokaribishwa na Balozi Mdogo wa China nchini Tanzania anayefanyia kazi zake Zanzibar Bibi Chen Qiman,(kulia) mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Beijing nchini china kwa ziara ya mualiko wa Serikali wa Jamhuri hiyo janaRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Mkewe Mama Mwanamwema Shein,wakikaribishwa na Balozi wa Tanzania Nchi China Philip Sang’ka Marmo pamoja na Mkewe,katika hoteli ya China World Hotel,katika mji wa Beijing nchini China akiwa katika ziara ya Kiserikali kwa mualiko wa Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China.Picha zote na Ramadhan Othman-IKULU-Zanzibar

 
C

chilubi

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Messages
4,630
Points
2,000
C

chilubi

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2011
4,630 2,000
Mtu mwene 'PhD' halafu akiwa mwanaCCM thamani ya hiyo PhD inashuka thamani kwa 90 %../
kwaiyo ulitaka awe chama gani? Cha mapdre na wapiga disco? Wasanii na wauaji? Mburula wa kutoa datas bila research? Spoonfeeded by hamad rashid au? Hawezi kujiunga na chama hicho cha kihuni, hakina ata hadhi ya kuwa chama cha siasa!

Kwenda uingereza sio lazima ujue english, rais wa china kashaenda marekani na hazungumzi kizungu anadumisha lugha ya kwao.
 
T

Tikerra

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2008
Messages
1,704
Points
0
Age
65
T

Tikerra

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2008
1,704 0
Yes,ni msomi anayestahili heshima,hongera sana Dr.Shein.Hata tabia yake inathibitisha kwamba ni msomi.He is my role model.
Hivi wewe mleta mada nani kakuambia kuwa kwenda ulaya sana ndo kujua kiingereza?? Kwa kukusaidia juu ya huyu mtu unayehisi kuwa ni mburura soma hapa
maelezo mafupi kuhusu dr. shein , kisha pima kama hajui hicho kiingereza chako unachosema , kwani ulaya (ng'ambo) hajaanza kwenda leo na kumbuka ufanisi wa kiongozi haupimwi kwa kwenda sana nje ya nchi wala kujua sana kingereza mfano: rais wa china, rais wa urusi,rais wa ufaransa rais wa ujerumani na mataifa mengine uyajuayo wewe kawaulize kama kujua sana kiingereza au kwenda xana nje ya nchi ndo utasikika sana , kisha utapata majibu.
Mjue dr. shein japo kwa ufupi tu itakusaidia.

Shein completed his secondary education at Lumumba College, Zanzibar. In 1969–1970 he joined Preparatory Faculty, Voronezh State University, USSR for “A” Level High Education before he took an undergraduate course from 1970–1975 at Odessa State University, USSR 1984–1988. Dr. Shein attained A Master of Science in Medical Biochemistry at the Medical School University of Newcastle England, U.K. Dr.Shein was awarded Doctor of Philosophy (PhD) in Clinical Biochemistry and Metabolic Medicine, specializing in “Inborn Errors of Metabolism”. He also studied HIV/AIDS in Developing Countries at the University of East Anglia.
Dr.Shein worked as a Clerk at the Ministry of Education and Assistant to the Deputy Principal Secretary from May 1969 – September 1969. In 1976–1984 he was Head of the Department of Diagnosis and the Department of Patgy at the Ministry of Health. He was also Specialist in Diagnosis and Head of the Department of Pathology, Ministry of Health from 1989–1991. From Nov. 1991 – July 1995 Dr.Shein served as a Programme Manager, AIDS Prevention Project at the Ministry of Health, and Advisor to the Ministry on Laboratory Services and Diagnosis. Dr. Shein was appointed by the President of Zanzibar to be Member of the House of Representatives on 29 October 1995. He was then appointed Deputy Minister of Health on 12 November 1995.From 6 November 2000 he was Member of the House of Representatives at Mkanyageni Constituency in Zanzibar before appointed to be a Minister of State, President’s Office, Constitution and Good Governance in Zanzibar on 22 November 2000 and later on Vice President of Tanzania July 2001.[SUP][2][/SUP]
 
Nyamgluu

Nyamgluu

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2006
Messages
3,143
Points
1,250
Nyamgluu

Nyamgluu

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2006
3,143 1,250
dah a biochemistry specialist in politics! what a waste!
 
mirisho pm

mirisho pm

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2012
Messages
2,910
Points
2,000
mirisho pm

mirisho pm

JF-Expert Member
Joined Apr 10, 2012
2,910 2,000
Msomi mzuri, muadilifu, tatizo amekubali kupiga deki wanawe wasife njaa!! alianza kupiga deki toka mkapa had leo...! hakuna utumwa mbaya kama wa fikra! wamemuweka pale tu.. na bado! we rais anateuliwa dodoma akaongoze zanzba!
 
B

Bob G

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2011
Messages
2,354
Points
1,195
B

Bob G

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2011
2,354 1,195
weee mwongo mbona Komandoo ana hekalu huku kijichi au upeo wenu wa kujua na kuona unaishia baharini
To be fair ,viongozi toka Z'bar ,toka zamani ni waadirifu.

MAFISADI wote ni toka Tanganyika,nini sisi Watangayika inabidi kuwa sort out
 
Abdulhalim

Abdulhalim

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2007
Messages
16,550
Points
1,500
Abdulhalim

Abdulhalim

JF-Expert Member
Joined Jul 20, 2007
16,550 1,500
kwaiyo ulitaka awe chama gani? Cha mapdre na wapiga disco? Wasanii na wauaji? Mburula wa kutoa datas bila research? Spoonfeeded by hamad rashid au? Hawezi kujiunga na chama hicho cha kihuni, hakina ata hadhi ya kuwa chama cha siasa!

Kwenda uingereza sio lazima ujue english, rais wa china kashaenda marekani na hazungumzi kizungu anadumisha lugha ya kwao.
Post yako inaonesha uezo wako wa mafikara na u mtu wa namna gani/
 
Jile79

Jile79

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2009
Messages
12,177
Points
2,000
Jile79

Jile79

JF-Expert Member
Joined May 28, 2009
12,177 2,000
Hivi huyu jamaa ana wake wangapi........demu aliyenaye anauzika ulaya?
 
N

Nonda

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2010
Messages
13,366
Points
2,000
N

Nonda

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2010
13,366 2,000
mi pia nishawai kujiuliza swali ilo sana
Ninyi watu mnapenda sana kodi anazolipa mlalahoi zitumiwe kiholela.

Jibu limetoka leo.

Imeripotiwa kuwa Dr. Shein amemfuatia Dr. Kikwete. Je Rais Kikwete yuko wapi?
Source. Zanzinews.com
 
M

mrelbattawy

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2013
Messages
564
Points
195
M

mrelbattawy

JF-Expert Member
Joined Mar 25, 2013
564 195
Huwa anaenda China kupeperusha bendera ya Muungano, tokea lini paka kula genderi?
 
Status
Not open for further replies.

Forum statistics

Threads 1,285,340
Members 494,571
Posts 30,858,393
Top