Hivi mbali na askari polisi huyu ni mwana usalama gani kwenye uchaguzi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi mbali na askari polisi huyu ni mwana usalama gani kwenye uchaguzi?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mwanamayu, Oct 15, 2010.

 1. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #1
  Oct 15, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,955
  Likes Received: 2,096
  Trophy Points: 280
  Sheria ya taifa ya uchaguzi iliyotolewa 30 Juni 2010 chini ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, F. M. Werema, ibara/ vifungu 63 (2) (l); 72 (1) (e); na 80 (6) (f) vinasema kuwa moja ya watu wanaoruhusiwa kuingia kwenye kituo cha kupigia kura ni "askari polisi au mtu mwingine yeyote anayehusika na usalama katika kituo cha kupigia kura".

  Jamani naomba msaada hapa, je huyu mwingine ndio usalama wa taifa, Green Guard, JWTZ, askari magereza, Knight Support, au nani huyu? Tutamtambuaje kuwa yeye ni mwanausalama kama tunavyomtambua polisi kwa magwanda yake? Je, huu ni ushahidi tosha kwa Dr. Slaa kusema kuhusu usalama wa taifa kuvuruga uchaguzi mkuu?
   
Loading...