Hivi mawaziri hawa wa Kikwete waliokotwa wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi mawaziri hawa wa Kikwete waliokotwa wapi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ntemi Kazwile, Apr 6, 2011.

 1. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #1
  Apr 6, 2011
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Jana kwenye taarifa ya habari kulikuwa na kioja ambapo waziri Gaudencia Kabaka alikuwa anatoa taarifa kwa bosi wake juu ya utendaji wa Machinga Complex. Kwa mtu mwenye madaraka ya waziri kutokuwa na majibu au uwezo wa kutatua matatizo madogo ya mawasiliano na watendaji waliochini yake na kusubiri mpaka ziara ya rais kuelezea changamoto ile ni aibu. Ninaamini mawaziri ndio watu walio karibu zaidi na rais kuliko watu wowote Tanzania, na kama kweli watendaji wa manispaa walikuwa wakaidi kwake alitakiwa aombe msaada kwa waziri mkuu, vile vile inaonekana hakuna atakaloweza kuwasaidia vijana kwa jinsi nilivyomuona
   
 2. n

  nndondo JF-Expert Member

  #2
  Apr 6, 2011
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 1,250
  Likes Received: 535
  Trophy Points: 280
  jamani mimi ninachoka kabisa, huyu mama alienda pale machinga complex na kusema wamachinga wa mchikichini lazima wahamia hapo si kwa sababu nyingine yoyote ila tu kwa sababu NSSF wamewekeza hapo. sijashangaa wamachinga kutaka kukutana leo kwa sababu wao wako pale kisheria na kwa akili za kawaida tu wafanyabiashara hawafungui soko kwa sababu NSSF ila kwa sababu pana market viability, huyu ndio waziri hafanyi homework kwa kuwa pale mchikichini chingas walipelekwa hapo wakitolewa mjini, na wako hapo kisheria, hawa ndio viongozi wanaopewa kwa sababu ya uwanamke wao sio kwa uwezo wao, ndio maana siyashangai ya Makinda, this is wrong, kwa sababu kuwan wanawake wengi tu wenye uwezo mkubwa sana lakini hawapewi nafasi, this is wrong, hebu angalia swala la kuvunja wavamiaje, mama Tibaijuka ameweza kumtoa mucadam kikwete asingeweza, kashindwa kuwatoa wachina Jangwani siku ya tatu leo. Jamani kwa nini tusikamate kigezo cha uwezo na track record? tuandamane makinda na Gaudensia waachie ngazi, HAWANA UWEZO FULL STOP
   
 3. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #3
  Apr 6, 2011
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Niliwahi kuandika kwenye michango yangu kuwa "viongozi wasiokuwa na uwezo huogopa kupata wasaidizi wenye uwezo zaidi yao, badala yake huweka watu ambao wana uwezo duni kuliko wao au wale wenye uwezo kama wao" haya ndiyo matokeo ya kuwa na rais wa aina ya kikwete. Ukiona anavyomwandama Magufuli utaelewa nini nilichomaanisha.
   
 4. Jatropha

  Jatropha JF-Expert Member

  #4
  Apr 6, 2011
  Joined: Apr 9, 2009
  Messages: 1,152
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160


  Kwanza kwa taaria ya portifolio ya vijana iliondolewa kutoka Wizara anayoongoza mama huyo ya Kazi na Ajira na kupuelekewa katika Wizata iitwayo Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Utamaduni na Michezo. Nafikiri ulipaswa kucheki facts zako ili kupata uahalai wa kutoa such criticism.

  Kwa upande wangu nilifurahia ujasiri alionyesha Mama Gaudencia Kabaka wa kusema hadaharani kiini cha tatizo kuwa ni "conflict of intrests" kati ya Manispaa ya Ilala kupoteza mapato amabyo yatakwenda Jiji la DSM ikiwa soko hilo litafungwa na wafanyabiashara wa soko hilo (ambao ni walipa kodi wa Manispaa ya Ilala) kuhamishiwa Machinga Complex ambapo watalipa kodi Jiji. Kwa muda mrefu tokea planning ya Machinga Complex ikifanyika hadi sasa midume minafiki iliyojaa wizarani mbali mbali, Jiji, Manispaa ya Ilala ilishindwa kutamka wazoi wazi tatizo ni nini? Lakini Mama huyu kaweza kutamka wazi wazi. Big Up Wanawake!!!!!

  Matatizo ya Tanzania yako deep rooted in the system, hivyo utatauzi wake unahitaji ujasiri wa kwanza kusema wazi wazi tatizo liko wapi ndipoi tujue ufumbuzi wake. Bila watu jasiri kama mama huyu, midume kila siku inazungusha na kuchukua posho huku mwakiaacha matatizo yalivyo
   
 5. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #5
  Apr 6, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  kawaokota gesti au bar pale sinza unategemea uwezo watautoa wapi?hivi nyie na kili zenu mnamuona JK ni rais kabisa..hahahaaaaa
   
 6. Jatropha

  Jatropha JF-Expert Member

  #6
  Apr 6, 2011
  Joined: Apr 9, 2009
  Messages: 1,152
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  hata Gerji bubu zilzpohamishiwa Tabata, walipiga kelele hizi hizi, lakini leo ukitaka kuwaondoa hapo watakuua, waliokuwa mafundi uchwara mitaani kwakifany kazi juani huku mavua yao; leo wanauza ufundi yao kwa dola kutoka kwa wasafirishaji kutoka nchi za maziwa makuu. Wafanyabiashara wa Soko la Mchikichini hawafukuzwi badala yake wanapelekwa mahali bora zaidi kama ilivyokuwa kwa wenzao wa TABATA. ADFADHALI TUMEPATA KIONGOZI JASIRI WA KUSEMA WAZI WAZI TATIZO LIKO WAPI ILI LITATULIWE KULIKO KUWA MIDUME LUKUKI OFISIN AMBAYO KAZI YAO NI KUCHONGA MADILI NA KULAMBA POSHO TU HUKU IKIACHA MATATIZO YAKIJILUNDIKA KILA KUKICHA.

  HONGERA MAMA KABAKA. KNOWING THE PROBLEM IS 50% OF SOLVING IT. HATA KAMA WEWE NI MTEJA UTAWEZAJE KUPNDA GHOROFANI KUNUNUA BIDHAA AMBAZO ZINAPATIKANA HAPO CHINI, LILPO SOKO LA MCHIKICHINI LIGEUZWE PARKING YA MAGARI KWA AJILI YA WATEJA WA SOKO HILO, NA MAPATO YA PARKING YAENDA MANISPAA YA ILALA. WAKIJENGA PARKIN YA GHRORFA WATAPATA MAPATO MENGI ZAID KULIKO AMBAYO WATAYAPOTEZA KUTOKA KWA WAFANYBIASHARA HAO.
   
 7. Jatropha

  Jatropha JF-Expert Member

  #7
  Apr 6, 2011
  Joined: Apr 9, 2009
  Messages: 1,152
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  usilete mambo ya magufuli katika thread hii, mbona tunapokuwa tukishusha vifungu vya sheria alizokiuka magufuli ktk thread husika hatukuoni. It is a fact kwamba magufuli alilindwa sana na pinda na kikwete kwa kuficha udhaifu wake wa kushindwa kutafisiri sawasawa kanuni za sheria ya barabara na hivyo kukurupuka kuiamuru tanroad kuvamia nyumba za watu zilizoko katika eneo la upana wa mita 8 kutoka hifadhi ya barabara ya awli ya mita 22 kuja inayoopendekezwa na sasa ua mita 30 nchi nzima, na kuziwekea alama za x badala ya kuwasiliana na wizara ya ardhi kwa lengo la kuhifadhi ongezeko hilo ikiwemo kufanya tathmini ya kuwalipa wahusika fidia, ndipo aweze kuwataka kuondoka miezi sita baada ya kulipwa fidia hizo. Hivyo ndivyo ibara ya 27 (2,4,5,6) ya kanuni za sheria ya barabara namba 13 ya 2007, kama zilivyopitishwa kupitia tangazo ktk gazeti la serikali namba 21 la tar 23 jan 2009 zinavyoelekeza.

  Na ndio maana magufuli mwenyewe amekubaliana na ushauri wa wakubwa wake , na juzi wakati wa uzinduzi wa barabara ya bagamoyo alionyesha kushirikiana na mkuu wa mkoa wa dsm na wilaya ya kinondoni kuwaondoa wafanyabiashara walkioko ktk hifadhi ya barabara eneo la teget kupisha upanuzi wa barabara hiyo.
   
 8. Japhari Shabani (RIP)

  Japhari Shabani (RIP) R I P

  #8
  Apr 6, 2011
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 721
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  waliokotwa huko alikookotwa jk mwenyewe.
   
 9. manenge

  manenge JF-Expert Member

  #9
  Apr 6, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 280
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Honarable Kabaka had a point but the exersice has to be participatory making sure that all stakeholders are invoved.
   
 10. Sungurampole

  Sungurampole JF-Expert Member

  #10
  Apr 6, 2011
  Joined: Nov 17, 2007
  Messages: 987
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Jamani kazeni buti tutaona mengi miaka hii. Hawa wamekuwepo siku zote lakini tofauti na siku za nyuma WATZ wameamka- wanataka kila aliyeko madarakani aoneshe anaiweza kazi aliyopewa. kipndi cha kuzawadiana vyeo na kulindana sasa basi ndiyo maana hat abosi wao JK anajitutumua kuongea kwa kuwaumbua ili tuone YEYE ana fanya kazi.
   
 11. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #11
  Apr 6, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Na hicho ndio anachoshindwa ku-execute wakati its within her capacity, what a waste
   
 12. B

  Bobby JF-Expert Member

  #12
  Apr 6, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,682
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  Kigogo labda unisaide mimi nawashangaa kweli hawa watu. Hivi wakiitwa watu wenye rais nanyi pia mtasimama? Juzi kuna akina mama nadhani ni wizara ya elimu or somewhere else walikuwa wanagombea kabisa kumsalimu, yaani sikuwaelewa kabisa hivi unagombea kumsalimu jk ili iweje huu kama si uwendawazimu ni nini?
   
 13. m

  msambaru JF-Expert Member

  #13
  Apr 6, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 242
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 45
  Kweli kabaka ni BAKA. Muacheni siku zake zipite na wote wataondoshwa.
   
 14. Nungunungu

  Nungunungu JF-Expert Member

  #14
  Apr 6, 2011
  Joined: Feb 13, 2007
  Messages: 312
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haya ni maneno ya kupewa thanks kweli!! Ama kweli JF imekiwsha! Huu ni ukanjanja wa mtandaoni!
   
 15. Mbaneingoma Zom

  Mbaneingoma Zom JF-Expert Member

  #15
  Apr 6, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 201
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wewe Mbona unarukiarukia mada kama uanona imekuuma kamwambie Bosi wako kuwa hana uwezo wa kuongoza! na usijaribu kutufundisha sheria kwani hata sisi tunajua!
   
 16. Jatropha

  Jatropha JF-Expert Member

  #16
  Apr 6, 2011
  Joined: Apr 9, 2009
  Messages: 1,152
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  haujajibu hoja?
   
 17. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #17
  Apr 6, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Haya yako ndani ya uwezo wake (Kabaka) kwanini anashindwa kuyatatua????
   
 18. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #18
  Apr 6, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,611
  Likes Received: 4,717
  Trophy Points: 280
  Chama lege lege huzaa serikali lege lege, rais lege lege huzaa mawaziri legelege.
   
 19. Najijua

  Najijua JF-Expert Member

  #19
  Apr 6, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,029
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hio ndio faida ya kuunda serikali ya kishakaji, waziri anashindwa kuwasimamia na kuwawajibisha wateule wenzke ili asimuudhi mteule wao
   
 20. Wanitakiani

  Wanitakiani JF-Expert Member

  #20
  Apr 6, 2011
  Joined: Apr 18, 2008
  Messages: 644
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Huwezi kupanda bangi ukavuna mchicha!!!
   
Loading...