worms
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 964
- 893
Nashukuru nimekupata, ntajaribu then nitaleta mrejeshoData limit kwenye smartphone imejigawa mara mbili, kutahadharisha kama umefikia kiwango ulichoset na Kudisconnect data endapo kiwango ulichoset kimefika.
Data limit inafanya kazi kama LUKU ila hiyo tofauti yake unaset kiwango ambacho unataka kikutahadharishe au kudisconnect. Ikisha disconnect unaweza kure-enable na kuona namna utavyoanza kuperuzi na mb zinazotumika kwanzia muda huo.
Mfano umetoka kujiunga 2Gb ya data, unaenable data limit, then unaweka kiwango ambacho unataka ukitumie kwa uwezo wako e.g. 1.5Gb then ikishafika unajua baada ya hapo unakuwa unahesabu kiwango cha mb kinachoenda ukiwa unaperuzi.
Namna ya kuset, mfano data limit unataka kuset 1.8Gb kwenye 2Gb yako, zidisha hiyo 1.8x1024=1843.2mb.
Sent using Jamii Forums mobile app