georgemugwangala
Senior Member
- May 29, 2016
- 109
- 21
Wadau, mwenye tetesi yoyote kuhusu hili, maana naona muda unaisha kwa wale wasiopenda kuomba mkopo kabla ya kujua matokeo yao kwa waliofanya mtihani mwaka huu.
Mkopo hauna uhusiano na matokeo....Yaani acha tu 10 days remain za kuomba mkopo. Mi mwenyewe nayasubiria siwezi omba mkopo mpaka matokeo yatoke
seriously,sasa kuna maana gani kama una apply mkopo alafu matokeo yakaja umepata div 0.Kujiamini hakuhusiani pia na matokeo mzee baba. Matokeo siku zote hayatabiriki unaweza ona umefanya vizuri matokeo yakaja vibayaMkopo hauna uhusiano na matokeo....
Kijana unatakiwa kujiamini kwa ulichofanya
seriously,sasa kuna maana gani kama una apply mkopo alafu matokeo yakaja umepata div 0.Kujiamini hakuhusiani pia na matokeo mzee baba. Matokeo siku zote hayatabiriki unaweza ona umefanya vizuri matokeo yakaja vibaya
System gani tenaKumbe ndio system ya sasa hivi?
Mbona watu wanakata bima za Afya, wakiwa hawana uhakika wa kuumwa au kupata ajaliseriously,sasa kuna maana gani kama una apply mkopo alafu matokeo yakaja umepata div 0.Kujiamini hakuhusiani pia na matokeo mzee baba. Matokeo siku zote hayatabiriki unaweza ona umefanya vizuri matokeo yakaja vibaya
Kuna kijana kaniomba nimuelekeze namna ya kuomba huo mkopo wakati sifahamu, naomba ufafanuzi tafadhali vampire123
Seriously bro embu tafuta kitu chengine cha ku compare. Matokeo ya form 6 ni kama mtu anayesubiria majibu ya UKIMWIMbona watu wanakata bima za Afya, wakiwa hawana uhakika wa kuumwa au kupata ajali
Mzee baba maelekezo ni marefu sanaKuna kijana kaniomba nimuelekeze namna ya kuomba huo mkopo wakati sifahamu, naomba ufafanuzi tafadhali vampire123
Summarise kijanaMzee baba maelekezo ni marefu sana
Tarehe 31 TCU wanafungua dirisha la usajili so yatatoka mwezi huuWadau, mwenye tetesi yoyote kuhusu hili, maana naona muda unaisha kwa wale wasiopenda kuomba mkopo kabla ya kujua matokeo yao kwa waliofanya mtihani mwaka huu.
tar 31 mwez ?Tarehe 31 TCU wanafungua dirisha la usajili so yatatoka mwezi huu
Yahtar 31 mwez ?
31/08/2020 hadi tarehe 25/09/2020 kwa awamu ya kwanzatar 31 mwez ?
System gani tena
Ndo maana mi mwenyewe namshangaa jamaaUnaomba mkopo kabla ya matokeo
Bado unaakili zakitoto ngoja ukose huo mkopo halafu uone utamu wa kusubiria chuo hadi mwakani,seriously,sasa kuna maana gani kama una apply mkopo alafu matokeo yakaja umepata div 0.Kujiamini hakuhusiani pia na matokeo mzee baba. Matokeo siku zote hayatabiriki unaweza ona umefanya vizuri matokeo yakaja vibaya
Mwaka huu corona imeharibu ratiba..ndo maana lakini HESLB walishatoa muongozo kwamba dirisha la maombi lipo wazi kwa siku 40... Inabidi wanafunzi waombe kisha wasubirie majibu...kurahisisha mambo...maana majibu yakitoka kuna kuomba vyuo napo.Ndo maana mi mwenyewe namshangaa jamaa