Hivi Marais wa Afrika wana matatizo gani jamani?

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,349
6,476
Jamani ebu tuangalie huko Ivory Coast, uchaguzi umefanyika na watu kama 12 wamefariki dunia kwa vurugu; halafu matokeo yanacheleweshwa kutangazwa mpaka muda wa kutangaza matokeo kikatiba umepita. Hivi ni kwa nini Marais wa Afrika wanaokuwa madarakani wengi wao hawataki maamuzi ya wananchi? Naomba Wikileaks watusaidie kwenye hili!

Mambo haya yametokea Kenya, Zimbabwe, Tanzania ikiwamo Zanzibar.

Source: Radio DW 2/12/2010 6 AM; Ivory Coast to announce partial election results - CNN.com
 

Sidhani kama ni njaa kwani tayari pesa wanazo. Mara nyingi wakishachaguliwa huigeuza nchi kuwa shamba la bibi sasa wanaogopa kuwaachia wengine ili waendelee kulinda uzandiki wao.
 
They are welcome by ICC to enjoy their presidential terms behind the grills in The Hague!
 
Back
Top Bottom