Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,195
- Thread starter
- #101
Naona unajijibu ugoro wako na ndoto zako za Abunuasi....ubinifu si kubuni ugonjwa,ingawa nayo inaweza isiwe case tukirudi ktk Bilogical weapons.KM mlikuwa na akili hiyo basi mngekuwa wa kwanza kuona umuhimu wa kutumia mbinu mpya ktk kutibu malaria na si kurudiarudia madawa na kuongeza uzalishaji..Waliopata wazo la haja ndio walioset hizo research na kuamua zifanyie vipi iliw afikie majibu gani.Full stop....Hiyo set up nzima ya tafiri walibuni wenzenu na nyie ni vibarua tuu...Dumber words haven't been spewed today. Just WOW. Hakuna mtanzania aliyebuni Malaria, kama vile hakuna muingereza aliyebuni heart attacks,Alzheimer na cold. Naona baaada ya hoja yako kuwa hakuna publications za researcher watanzania kuumbuliwa kwa simple links proving otherwise ,unaanza kuleta hadithi za kinachoandikwa sio cha kwao. Hivi unajua moja ya page ya kwanza kwenye kazi yoyote ya research ni ipi?well, ni ku-declare kuwa ulichokiandika ni kazi ya mkono wako, na kama kuna kazi ya mwengine umeweka iko properly referenced. Sifanyi kazi IHI, sifanyi kazi TZ, ila uongo uliouleta hapa Kuhusu IHI, ni sawa na kusema fizikia wanazosoma watu hapo UD si za kwao kwa kuwa vitabu vimeandikwa na waingereza.wewe kweli kweupe kichwani. Nilidhani uko hapa kutoa hoja, kumbe uko hapa kubishana, Hopeless. And how has any of that got to do with research?