Hivi Maprofesa na PhD candidates wanapublish wapi paper zao hapa Tanzania?

Mkuu,

kwa mara ya kwanza nimeona swala legit kabisa. This is a very good question. It seems kama watanzania tungekuwa tunauliza maswali Kama haya tusingekuwa tunachezewa akili na Hawa Watu wanaojiita wasomi. Kiukweli majority ya PHD holders wetu hawajaandika popote. Wengi ni wasanii tupu. Hata hao associate professors unakuta publications Zao ni kidogo mno na wamepublish kwenye journals za hapa hapa TZ ambazo kiukweli hawawezi kukataliwa. Wengi wanapenda kuitwa Dr? So and so lakini hawajui Kama it requires more to earn that title. The negative side ni kwamba hata watoto wetu tunawafundisha short cuts za maisha. Mf. Sijawahi ona msomi wetu hapa bongo kapublishi kweny journal ya uhakika Kama Harvard Law Review, Yearbook za ukweli....I mean Mifano ni mingi...huko kwenye medics, engineering nk. The point is journals Kama hizi mpaka paper yako ipite Uwe published........unajua kweli....I have earned that accolade. In all wabongo wengi wetu bado sana....ndo maana hata uprofesa wetu ni ujanja ujanja kwa kufahamiana.

again swala lako ni zuri sana.
Na ukija mtu ambaye umesoma nje ktk vyuo ambavyo vina watu ambao ni Rational , ukija hapa na irrationality yao.Utasikia wakijisifu kuwa ukisoma nje hakuna kitu.Kumbe wamekupima na vipimo vyenye makosa. Na kwa vile wana washabiki sana kuliko weledi watashangiliwa sana. Wanafunzi wengi wa tz wanajua zaidi wanchotaka walimu kuliko taaluma yao inavyotaka.
 
Nicholas! Ni ukweli wasomi wengi TZ janja janja ndo maana utawakuta (baadhi) akiwa MC wa Kitchen Party na kwenye account yake ya instagram anajiita....PhD sasa unajiuliza tofaut n nn na Ngumbaru Mc Pilipili?
 
Mkuu unamaanisha Chriss Mauki hahaa...he is junior PhD holder
Hivi zile tafiti km sijui JK anakubalika kwa 78 na Dr Slaa kwa 32, na kusema Dr. Slaa kapanda kidogo.Halafu waliohojiwa ni watu ambao non determinants.Zinawatosha jamaa ku keep tenure yao?
 
Hivi zile tafiti km sijui JK anakubalika kwa 78 na Dr Slaa kwa 32, na kusema Dr. Slaa kapanda kidogo.Halafu waliohojiwa ni watu ambao non determinants.Zinawatosha jamaa ku keep tenure yao?
Opinion polls sio? Yule jamaa fulani anaitwa Makulilo akisahawahi kuandikia Opinion polls za kule Kenya (synovate) natumaini anatumia chapisho hilo hilo kuombea u-Associate Professor
 
Open University pale janga la Karne. Hv kwa nn wasipigwe stop namna wanavyopromote wanataaluma wao? Inaumiza elimu yetu
Ukijumlisha na Board ya uhasibu(na CPA(T) yao), in fact elimu zao nikm wameamua kuzifanya kuwa km Tuition za Dar miaka ile wazazi walikuwa wakikimbizana hadi kuhonga walimu watoto wao wapate nafasi tuition. Hii nchi ina shida sana. Ukingalia tafiti za afya nyingi ni decoy. Watafiti wanapiga kelele kwelikweli eti tafiti zao zinaenda kuwa relabelled ulaya na kupewa watu wengine sifa.Sasa km mtafiti kapewa utafiti wa malaria na kapewa hela na design toka kwa mwenye utafiti, alitegemea aiulinde kwa design.Kesho ukisikia kagundua tiba ya kansa ya damu kwa utafiti wako na PhD ukapewa.Utalalamika nini wakati ulikuwa kibarua kazini?Na ili asipate shida vitabia vyetu vya kupelekea wachina na waarabu wakalinda kuptia procedures na mbongo hakuwa anajua anafanya nini.Lawama za nini? Huwa wasomi wetu wetu hawajiulizi sana maswali ya msingi,ndio maana huwa wana majibu ya hovyo. Ndio maana kimweri katoa sana povu hapa ila hakujua kuwa yeye ni kibarua tuu ktk tafiti hawezi claim kuwa egineer. Nyapara hawezi ongoza gereza, ia kukimbizana na majuku aliyopangiwa na mkuu wa gereza.
 
Open University pale janga la Karne. Hv kwa nn wasipigwe stop namna wanavyopromote wanataaluma wao? Inaumiza elimu yetu
Ukijumlisha na Board ya uhasibu(na CPA(T) yao), in fact elimu zao nikm wameamua kuzifanya kuwa km Tuition za Dar miaka ile wazazi walikuwa wakikimbizana hadi kuhonga walimu watoto wao wapate nafasi tuition. Hii nchi ina shida sana. Ukingalia tafiti za afya nyingi ni decoy. Watafiti wanapiga kelele kwelikweli eti tafiti zao zinaenda kuwa relabelled ulaya na kupewa watu wengine sifa.Sasa km mtafiti kapewa utafiti wa malaria na kapewa hela na design toka kwa mwenye utafiti, alitegemea aiulinde kwa design.Kesho ukisikia kagundua tiba ya kansa ya damu kwa utafiti wako na PhD ukapewa.Utalalamika nini wakati ulikuwa kibarua kazini?Na ili asipate shida vitabia vyetu vya kupelekea wachina na waarabu wakalinda kuptia procedures na mbongo hakuwa anajua anafanya nini.Lawama za nini?

Huwa wasomi wetu wetu hawajiulizi sana maswali ya msingi,ndio maana huwa wana majibu ya hovyo. Ndio maana kimweri katoa sana povu hapa ila hakujua kuwa yeye ni kibarua tuu ktk tafiti hawezi claim kuwa egineer. Nyapara hawezi ongoza gereza, ia kukimbizana na majuku aliyopangiwa na mkuu wa gereza.
 
Mkuu,

kwa mara ya kwanza nimeona swala legit kabisa. This is a very good question. It seems kama watanzania tungekuwa tunauliza maswali Kama haya tusingekuwa tunachezewa akili na Hawa Watu wanaojiita wasomi. Kiukweli majority ya PHD holders wetu hawajaandika popote. Wengi ni wasanii tupu. Hata hao associate professors unakuta publications Zao ni kidogo mno na wamepublish kwenye journals za hapa hapa TZ ambazo kiukweli hawawezi kukataliwa. Wengi wanapenda kuitwa Dr? So and so lakini hawajui Kama it requires more to earn that title. The negative side ni kwamba hata watoto wetu tunawafundisha short cuts za maisha. Mf. Sijawahi ona msomi wetu hapa bongo kapublishi kweny journal ya uhakika Kama Harvard Law Review, Yearbook za ukweli....I mean Mifano ni mingi...huko kwenye medics, engineering nk. The point is journals Kama hizi mpaka paper yako ipite Uwe published........unajua kweli....I have earned that accolade. In all wabongo wengi wetu bado sana....ndo maana hata uprofesa wetu ni ujanja ujanja kwa kufahamiana.

again swala lako ni zuri sana.
Kweli kabisa wengi usanii mtupu na wanapeana na kubebana kwenye izo pepa zako wanazopublish ...
 
Duh, kuna saa unasikiliza matokeo ya tafiti unasema ni kweli nisikiacho au lah.Ghafla unasikia hata mlevi akisema hawa jamaa wameamu kuwa wajinga.

Hivi kweli ile mikoa kila mara polisi wanakwenda choma mashamba ya bangi, ile mikoa ccm wakitaka kupigiwa kura au kutoa chanjo lazima wapeleke bangi ya kutosha eti wametukata?Lazima niwe mwanaharakati wa kutetea bangi ihalalishwe. Hii mikoa ambayo bangi inaliwa km mboga, bangi inapigwa km kiburudishoa cha kuvuta, bangi ndio dawa ya kila kitu. Hiyo mikoa hata ukatili kwa wanawake na watoto upo juu sana, achilia mbali matukio ya kuchapana mapanga bila hata kufikiri.

Eti hawa jamaa wana watu timamu per head kuliko sisi, ambao tupo busy kupinga bangi, pombe tumejiwekea sheria kabisa kuwa vilabu kufungua ni kuanzia saa 8.

Duh, hii kweli ni nchi ya vi wonder. kuna mikoa tuu uchawi na mambo mengine duni(kemicali hatari ktk mambo ya kichawi) unamwaga vichaa wengi barabarani kupita hata wanaokwenda shule au kujiajiri ktk hsughuli za kibiashara.Eti wao PER HEAD 10 heads wapo wengi wenye akili sawasawa?Kwanza kuwa mganga tuu akili sio sawa sawa.
 
Huu uzi umevamiwa, sio lazima uchangie kila post yawezekana hii sio size yako, kuitwa Prof au Dr ni lazima upitie mchujo wa shule ya msingi, upite mchujo wa shule ya sekondari, upite mchujo wa chuo kikuu, umalize degree ya kwanza etc!! haina uhusiano na pesa. Hawa wasomi ndio wamezifikisha nchi dunia ya kwanza
Fanya research kidogo utajua ni maprof wachache wenye mchango katika hicho unachokisema watu wengi walioifikisha dunia hapa ilipo walitumia akili zao kufanya fikra na mawazo yao kuwa vitu halisia vinavyosaidia jamii hawakuwa na time ya kusoma mawazo ya wenzao mfano mzuri ni Bill Gates na Mark Zuckerbag sijaanza kuzungumzia Kina Leonardo Davinc , Kina MichaelAngelo Kina ,Nicolai Tesla kina Faraday nk. Unahitaji Elimu ya Kati ikusaidie kuendeleza kile ulicho nacho kish a sky is the limit .....................
 
Research yangu ya kwanza umesoma vitabu vingapi ambavyo ni fact book au biography vya hao uliowataja hapo juu, manake ukianza na Bill Gates yeye anajijua ana kipaji cha biashara na ameajiri hao hao maprofessor na madoctor wasome wakiendeleza biashara yake, haina maana kwamba ana akili kuwazidi ndio maana bado anawegemea. Nirudi kwenye swali umesoma kitabu gani kinachomwelezea Bill Gates etc au ni story za vijiweni!!!
 
Back
Top Bottom