Hivi Maprof na PHD candidates wanapublish wapi paper Zao Bongo? | Page 48 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi Maprof na PHD candidates wanapublish wapi paper Zao Bongo?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nicholas, Apr 9, 2015.

 1. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #1
  Apr 9, 2015
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 24,363
  Likes Received: 1,751
  Trophy Points: 280
  Nimejaribu sana kufuatilia PHD za US na Maprof wao..Aisee watu wanapigika sana paper zao kuwa published ktk journals za kueleweka.Watu wote wanapigika hadi wanaonyesha kiwango na weledi ndio wanapita.Si weupe,si wekundu,si wa njano na hata weusi..wengine hadi wanakimbilia kusema ni ubaguzi wa rangi..ila wakipita huwa wanaonyesha hiyo mambo haswa ktk real life.Hapa Bongo naona design km watu wanachukua tuu gamba..labda tuu km kuna siasa ndio zinawakwamisha.Kuna watu wa uchumi,Political science,vyuo vipya km vinapiga promo kwa staff wao fasta fasta fulani.Hivi kuna hizo journal ambazo haziwezi kuwa influenced kisiasa kweli?
   
 2. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #941
  Jul 1, 2017
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 10,824
  Likes Received: 3,069
  Trophy Points: 280
  halafu mjuaji mno!!! amejaa kejeli na dharau, jambo usilolijua bana
   
 3. D

  DON JF-Expert Member

  #942
  Jul 1, 2017
  Joined: May 6, 2008
  Messages: 564
  Likes Received: 272
  Trophy Points: 80
  Kuna Prof mmoja MUHAS yeye ni Dr. wa meno amechukua vitabu vya mwenzie na kujifanya alimshirikisha ilhal yeye hayo masomo hakupitia, sasa hivi anafundisha postgraduate wa obs and gynae anatomy wakati yeye hajasoma fuu body anatomy ameishia kifuani. Huwa anajifanya yeye ndio the only Prof wa Anatomy in Tz wakati sio kweli. Hajaweka hata TA wa kumrithi kufundisha dental anatomy akiondoka kwa sababu anaelekea miaka sabini. Ukweli ni kwamba MUHAS hakuna Prof wa Anatomy MD
   
 4. m

  makodinda JF-Expert Member

  #943
  Jul 1, 2017
  Joined: Sep 10, 2013
  Messages: 1,061
  Likes Received: 642
  Trophy Points: 280
  kazi ipo kwa maprof wetu
   
 5. Gut

  Gut JF-Expert Member

  #944
  Jul 1, 2017
  Joined: Jan 18, 2016
  Messages: 2,583
  Likes Received: 2,755
  Trophy Points: 280
  Mwonyeshe Nicholas walipopublish awe kichekesho.kinyume na hapo wewe ndio utageuka kichekesho.
   
 6. e

  establishment JF-Expert Member

  #945
  Jul 18, 2017
  Joined: Jun 27, 2015
  Messages: 314
  Likes Received: 344
  Trophy Points: 80
  Lipi la ajanu kwa Std 7 kuuliza? hiyo inabadilisha mantiki ya swali?
   
 7. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #946
  Aug 6, 2017
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 24,363
  Likes Received: 1,751
  Trophy Points: 280
  Na kwa sa sa ni mwendo sa vyeti na kupata prefix tuu. Weledi baadae.
   
Loading...