Hivi Maprof na PHD candidates wanapublish wapi paper Zao Bongo? | Page 47 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi Maprof na PHD candidates wanapublish wapi paper Zao Bongo?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nicholas, Apr 9, 2015.

 1. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #1
  Apr 9, 2015
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,220
  Likes Received: 2,447
  Trophy Points: 280
  Nimejaribu sana kufuatilia PHD za US na Maprof wao..Aisee watu wanapigika sana paper zao kuwa published ktk journals za kueleweka.Watu wote wanapigika hadi wanaonyesha kiwango na weledi ndio wanapita.Si weupe,si wekundu,si wa njano na hata weusi..wengine hadi wanakimbilia kusema ni ubaguzi wa rangi..ila wakipita huwa wanaonyesha hiyo mambo haswa ktk real life.Hapa Bongo naona design km watu wanachukua tuu gamba..labda tuu km kuna siasa ndio zinawakwamisha.Kuna watu wa uchumi,Political science,vyuo vipya km vinapiga promo kwa staff wao fasta fasta fulani.Hivi kuna hizo journal ambazo haziwezi kuwa influenced kisiasa kweli?
   
 2. kantunta

  kantunta Member

  #921
  Mar 2, 2017
  Joined: Dec 30, 2016
  Messages: 17
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 5
  Nenda maktaba kuu ya Chuo kikuu cha Dar es salaam(UDSM),si rahisi kuwa online.
   
 3. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #922
  Mar 4, 2017
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,220
  Likes Received: 2,447
  Trophy Points: 280
  Kwanini ngumu hivyo? Its funny that,tafiti zenye maana Lana duniani ambapo pia wanapitisha jicho moja kupata pa kuanzia kufikiri zinakuwepo kirahisi sana. Sara km tafiti zenye haziwezi hats kufikia kiwango cha kupata patent bongo. Wanaficha mini au wanaficha aibu?
   
 4. jaji mfawidhi

  jaji mfawidhi JF-Expert Member

  #923
  Mar 4, 2017
  Joined: Feb 20, 2016
  Messages: 3,754
  Likes Received: 2,843
  Trophy Points: 280
  Zipo Lumumba,za kina Ndali-changu,Dr.Changamka, Dr. Herisoni Mwakyumb na Dr.Kigwengeleh
   
 5. m

  mzee wa kijiwe dar Member

  #924
  Mar 4, 2017
  Joined: Feb 28, 2017
  Messages: 35
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 15
  Hao Mapr .....tangu wapate elimu kupitia jasho la walala hoi wamesaidia nini kuwainua walala hoi.....paper wakiandika.......inaishia kabatini kwake...akikuletea si utaishia kufungua macho ujue aliye adui wako????halafu kipofu akiona njia si hatutakula vyake tena...sikiliza mada zao kwenye luninga utadua ni Mapro hawa wa kutegemewa ila kwenye propoganda mwanangu weeee......kijiwe hungara........ukiwajibu heeee cha moto utakiona tuwape pole....kama wapo mbona huyu profe wa sheria tanganyika amefumba mdomo mpaka sheria na katiba inanajisiwa mchana kweupe tena hadharani wakati akiwa na joho lake jeusi......tumuulize nani kamfumba mdomooooooo.hatuna maprooooo tulie wao ni waganga njaa .......washibe kwanza na kazi baadaye!!!!!!!!!!!!!@
   
 6. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #925
  Mar 4, 2017
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,220
  Likes Received: 2,447
  Trophy Points: 280
  Mkuu hapa kuna jamaa wananitia kinyaa. Wanafabya mambo ya kitoto. Wanafunzi was sasa hivinwatatisha. Hawa jamaa wanatetea roho kisiasa na kiuchumi kinyama hadi wanajidhalilisha sana. Sasa hivi hadi wanabchi wasio na shule wanawashangaa sana wanapofungua midomo.
   
 7. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #926
  Mar 24, 2017
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,220
  Likes Received: 2,447
  Trophy Points: 280
  Vyeo vya ccm vinawaumbua PhD holders. Waliopata PhD sa kuja fanya kazi za kujidanganya
   
 8. e

  establishment JF-Expert Member

  #927
  Apr 2, 2017
  Joined: Jun 27, 2015
  Messages: 400
  Likes Received: 479
  Trophy Points: 80
 9. Elius Obadia

  Elius Obadia JF-Expert Member

  #928
  Apr 2, 2017
  Joined: Dec 11, 2015
  Messages: 446
  Likes Received: 172
  Trophy Points: 60
  Itakuwa nanazipost ...Badoo
   
 10. e

  establishment JF-Expert Member

  #929
  May 29, 2017
  Joined: Jun 27, 2015
  Messages: 400
  Likes Received: 479
  Trophy Points: 80
  Hizi taasis wenyewe ndo wanajiita THINK TANKS lakini ukiangalia academic profile zao unapata kigugumizi haswa, zimekaa kuilaji ulaji na tafiti/takwimu za kupika. Sidhani hata kama wanajua kuna THE STATISTICS ACT ya 2015 ambayo ukibambwa na data za kuunga-unga unaadhibiwa.
  ** Bongo bado sana.
   
 11. j

  joshua_ok JF-Expert Member

  #930
  May 29, 2017
  Joined: Jun 27, 2012
  Messages: 5,149
  Likes Received: 3,072
  Trophy Points: 280
  Njaa ikizidi ndo matokeo yake haya sasa.
   
 12. lusungo

  lusungo JF-Expert Member

  #931
  May 29, 2017
  Joined: Jan 4, 2014
  Messages: 18,649
  Likes Received: 10,100
  Trophy Points: 280
  Hahahah nimecheka sana
   
 13. l

  leaderofleaders Senior Member

  #932
  May 29, 2017
  Joined: Apr 25, 2017
  Messages: 135
  Likes Received: 149
  Trophy Points: 60
  Yaani wewe ndio bure kabisa. Kwa hiyo unashauri tuwe tunafunga safari kuja maktaba ya chuo kusoma hizo tafiti? Au hujaelewa maana ya ku-publish?

  Swali: Kwa nini hazipo kwenye journals mitandaoni ili tuzisome na tuone michango yao katika taaluma zao?

  Huenda zipo maktaba kwenye makaratasi kwa kuwa zilikosa sifa ya kuwa published, au walicopy na kupaste za wataalamu wengine (plegiarism) hivyo wanaogopa kushtakiwa zikionwa mitandaoni

  Wapo ambao naona wame-publish na wameshauri mambo muhimu ya kutatua matatizo kwenye jamii ila mchango wao naona kama hauthaminiwi, au ni wao (wataaluma) wameshindwa kuwafikishia walengwa.
   
 14. simpasa 202

  simpasa 202 JF-Expert Member

  #933
  May 29, 2017
  Joined: Mar 3, 2017
  Messages: 302
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 60
  Vp marehemu chachage set chachage
   
 15. kantunta

  kantunta Member

  #934
  May 29, 2017
  Joined: Dec 30, 2016
  Messages: 17
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 5
  Ni vema ukaelewavizuri chanzo cha huo mchango kabla ya kuupuuza . Huo mchango ulikuwa mahususi kwa mtu aliyetaka kujua ni wapi anaweza kuipata Thesis ya PhD ya muhitimu 'fulani' wa UDSM.
   
 16. l

  leaderofleaders Senior Member

  #935
  May 30, 2017
  Joined: Apr 25, 2017
  Messages: 135
  Likes Received: 149
  Trophy Points: 60
  Sidhani kama unaweza kutunukiwa PhD kabla huja-publish kwenye Journal. Sasa tunachouliza hapa ni kwamba...baada ya kupata hiyo PhD tafiti zao huwa wanapeleka wapi ili tuzisome? Maana kazi ya mtu mwenye PhD ni kutoa ushauri wa kitaalamu, kufundisha, na kufanya tafiti.

  I stand to be corrected.
   
 17. kadoda11

  kadoda11 JF-Expert Member

  #936
  Jun 19, 2017
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 17,992
  Likes Received: 10,812
  Trophy Points: 280
  PhD 17 za BOT.
   
 18. e

  establishment JF-Expert Member

  #937
  Jun 22, 2017
  Joined: Jun 27, 2015
  Messages: 400
  Likes Received: 479
  Trophy Points: 80
  Tafiti vs Teuzi
   
 19. e

  establishment JF-Expert Member

  #938
  Jun 28, 2017
  Joined: Jun 27, 2015
  Messages: 400
  Likes Received: 479
  Trophy Points: 80
  wasomi uchwarra
   
 20. e

  establishment JF-Expert Member

  #939
  Jul 1, 2017
  Joined: Jun 27, 2015
  Messages: 400
  Likes Received: 479
  Trophy Points: 80
  Ipo haja bya kupitia upya hizo PhDs
   
 21. s

  senzighe JF-Expert Member

  #940
  Jul 1, 2017
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 896
  Likes Received: 621
  Trophy Points: 180
  Kichekesho na kioja kwa std 7 kuulizia ma prof. na ma Dk wanapo publish paper zao.
   
Loading...