Hivi Maprof na PHD candidates wanapublish wapi paper Zao Bongo? | Page 46 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi Maprof na PHD candidates wanapublish wapi paper Zao Bongo?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nicholas, Apr 9, 2015.

 1. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #1
  Apr 9, 2015
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,220
  Likes Received: 2,447
  Trophy Points: 280
  Nimejaribu sana kufuatilia PHD za US na Maprof wao..Aisee watu wanapigika sana paper zao kuwa published ktk journals za kueleweka.Watu wote wanapigika hadi wanaonyesha kiwango na weledi ndio wanapita.Si weupe,si wekundu,si wa njano na hata weusi..wengine hadi wanakimbilia kusema ni ubaguzi wa rangi..ila wakipita huwa wanaonyesha hiyo mambo haswa ktk real life.Hapa Bongo naona design km watu wanachukua tuu gamba..labda tuu km kuna siasa ndio zinawakwamisha.Kuna watu wa uchumi,Political science,vyuo vipya km vinapiga promo kwa staff wao fasta fasta fulani.Hivi kuna hizo journal ambazo haziwezi kuwa influenced kisiasa kweli?
   
 2. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #901
  Feb 2, 2017
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,220
  Likes Received: 2,447
  Trophy Points: 280
  Wewe unayejiita shahidi, unampa msikilizaji kazi ya kutafuta ushahidi ili akutetee wewe?Kweli logic yako ni ya nyumbu.Ndio maana huwezi ona shida hapa.Watanzania mmekuwa kama shamba la shetani na mifugo yake.
   
 3. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #902
  Feb 2, 2017
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,220
  Likes Received: 2,447
  Trophy Points: 280
  Hoja ipi sasa nilete zaidi ya thread?Wewe uliyeingia kwa mbwembwe ndio unatakiw aukaze makalio, ulete ushaidi wa wazi mezani na sio kuniambia upo chumbani kwa jirani yako.Unatakiw auache shambulia waleta mada.Ila jibu hoja zao .Kama huwezi jitoe tuu hata bila kuaga kama wengine. PAPER MOJA YA MKUMBO NIMEISOMA YOTE HARAK HARAKA TUU,NIMEONA UJINGA ULE ULE AMBAO HUWA ANAONGEA KATIKA MIDAHALO.HE IS PLAYING TOO GENERAL AND POLITICALLY CORRECT.Kwa lugha nyingine anacheza kotekote na jumla jumla sana, kwa kiasi hayupo specific enough to come up with more than obvious.
   
 4. y

  yamindinda JF-Expert Member

  #903
  Feb 2, 2017
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 1,070
  Likes Received: 671
  Trophy Points: 280
  umejuaje kama ni ujinga......wakati imekuwa accepted kwenye scientific journal......paper huwa critisized kwa paper....mkuu unazidi kuonesha ukilaza wako
   
 5. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #904
  Feb 2, 2017
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,220
  Likes Received: 2,447
  Trophy Points: 280
  Sasa nikusaidiaje?Hujaona sababu ya mimi kuita ujinga kwa vile huna huo ulewa.Ila povu linakutoka kutaka okoa roho yako na hao unaotaka watetea. Sasa ziweke hizo scinetific journals ingawa English yako hapa ni shida,ulipaswa ziita something kama Science Journals au namna nyingine.
   
 6. emperor

  emperor Senior Member

  #905
  Feb 2, 2017
  Joined: Dec 3, 2013
  Messages: 162
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Unayoyasema ni sahihi ila pia epuka ku generalize mambo. wapo wasomi wengi tu Tanzania ambapo wame publish to the most respected journals. mifano ipo mingi. ila linapokuja swala la ulinganifu, then wengi wao huwa hawatambui nini maana ya kuwa Dr.
   
 7. y

  yamindinda JF-Expert Member

  #906
  Feb 2, 2017
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 1,070
  Likes Received: 671
  Trophy Points: 280
  Science Journal au Scientific Journal?????
   
 8. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #907
  Feb 2, 2017
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,220
  Likes Received: 2,447
  Trophy Points: 280
  Wewe unachagua nini? Hembu cheki dictionary yako.Ndio uje hapa.
   
 9. y

  yamindinda JF-Expert Member

  #908
  Feb 2, 2017
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 1,070
  Likes Received: 671
  Trophy Points: 280
  hoja zimekwisha
   
 10. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #909
  Feb 2, 2017
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,220
  Likes Received: 2,447
  Trophy Points: 280
  Aisee upo too stupid kwa mtu kupoteza muda na wewe,huoni hata thamani ya hoja na hivyo ni vigumu kuona hasara.Wewe ni wa kuchapa viboko.Bahati mbay sana CCM imewalea sana.Sasa na nyie mnajiona mnajua na kwa vile hamna maadili mnaweza simama madhabahuni na kubishana mkiwa na makosa ili kujitetea bila kutoka hapo madhabahuni.
   
 11. y

  yamindinda JF-Expert Member

  #910
  Feb 2, 2017
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 1,070
  Likes Received: 671
  Trophy Points: 280
  Matusi ni dalili ya kuishiwa hoja kichwani
   
 12. kivava

  kivava JF-Expert Member

  #911
  Feb 2, 2017
  Joined: Apr 2, 2013
  Messages: 5,385
  Likes Received: 4,028
  Trophy Points: 280
  Nitaisoma wapi andishi la Matumizi mbadala wa sharubati ya Mabibo aliyoandika Mkemia na kutunikiwa PhD?
   
 13. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #912
  Feb 9, 2017
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,220
  Likes Received: 2,447
  Trophy Points: 280
  KW vile umekuja na kipya hapa. Hujajiliza kama kweli hujaanza chosha?
   
 14. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #913
  Feb 9, 2017
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,220
  Likes Received: 2,447
  Trophy Points: 280
  Akitoka kubeti atakuambia yeyeni mtaalamu wa michezo ya bahati nasibu.
   
 15. e

  establishment JF-Expert Member

  #914
  Feb 19, 2017
  Joined: Jun 27, 2015
  Messages: 400
  Likes Received: 479
  Trophy Points: 80
  Wasomi wetu jitokezeni mjibu hoja
   
 16. e

  establishment JF-Expert Member

  #915
  Feb 22, 2017
  Joined: Jun 27, 2015
  Messages: 400
  Likes Received: 479
  Trophy Points: 80
  Msomi anaibuka kuelezea uchaguzi mdogo wa madwani halmashauri ya Kaliua. Next week anaalikwa I-FM kuelezeaAzimio la Arusha.
   
 17. clet 8

  clet 8 JF-Expert Member

  #916
  Feb 22, 2017
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 1,076
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Ni shida.
   
 18. Victor wa happy

  Victor wa happy JF-Expert Member

  #917
  Feb 22, 2017
  Joined: Apr 24, 2013
  Messages: 9,384
  Likes Received: 6,673
  Trophy Points: 280
  Kuna PhD candidate karibu miaka Sita Sasa sijui at Amaliza lini, yupo humu anapenda sana jukwaa la jamii intelligence
   
 19. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #918
  Feb 28, 2017
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,220
  Likes Received: 2,447
  Trophy Points: 280
  Hawajitambui wakla kujua to time ya ujinga imeisha.
   
 20. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #919
  Mar 1, 2017
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,220
  Likes Received: 2,447
  Trophy Points: 280
  HUwa wanazichukulia mahakamani.Sijui mahakimu wanajua hayo material? Ndio shida ya kuwa na waziri ana PHD ila akili ya bundi eti anatala futa Taasisi Kwa vile kaingia msema kweli. Kwa mwendo huu Akina Daudi wakiwa karibu hizi na meza kuu wanapewa PHD kama rushwa ili wawaite meza kuu aina ya madr na mapr tulio nao.
   
 21. e

  establishment JF-Expert Member

  #920
  Mar 2, 2017
  Joined: Jun 27, 2015
  Messages: 400
  Likes Received: 479
  Trophy Points: 80
  PhD zimekuwa za ovyo sana siku hizi. ukijaribu ku-google zaidi ya kukuta hilo jina facebook basi utalikuta wikipedia.
   
Loading...