Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,195
- Thread starter
- #61
Kwanini ujifiche ktk nyingi km wababaishaji wengine,si ungandika tuu hata moja bila kuleta ubishi nje ya mada.Ni tabia yenu ku assume kwamba watu maarufu nchi by dafault wanajulikana ni wazuri, etc...nakutana sana watz wanapiga kelele kuwa sijui ZItto ni Mzuri,Sijui Chenge ni Mzuri,Sijui nani ni mzuri, ninapowabana waonyeshe ubora wao, watu huzunguka sana,kushutumu,huniita mwehu,mbishi,sijui najilinganisha na waomi,sijui nini na nini....mwishowe hujikuata walikuwa wakitumia tuu kwa propaganda zilizozagaa mitaani ila si kweli.Hata UDSM ina mengi sana yameanishwa ktk vichwa vya watz kuwa wataalamu wa udsm wana kila kitu standard...na ndio dira ya nchi.Kwa hao wtz kuchallenge UDSM ni km kujitangazia kuwa ni kichaa.. Kaka Nicholas. Watanzania wapo wanaopublish kwenye journals nyingi tu duniani.Huwezi kuona publication hizo kama hutazitafuta.Hao anaowasema kimweri yaani ifakara ni mfano wa watanzania wanaojituma katika sayansi ukiachia na hali ngumu tuliyonayo.Kupublish katika scientific journals ni tofauti na kuandika hadithi za gwajima na kundecha,ni fani inayohitaji kwanza kufanya kazi za tafiti,kupata matokea na kwa ustadi kuyaweka maadishi hayo katika journals.