Hivi Maprofesa na PhD candidates wanapublish wapi paper zao hapa Tanzania?

Jamama ukimuulzia kuhusu Democrasia anakimbilia kusema vyama vinakandamiza democrasia,vyama ni miungu watu etc..huku akipoint cdm km vile ndicho chama tawala,Na hiyo akili yake imeganda hapo hapo...nilitaka kwenda soma paper iliyompatia huo Uprof...itakuwa published wapi..inaweza kuwa inahusu CDM na safai ya Ayatuoullah?au unaweza kuta ni ile paper ambayo Ben saanane anitwa 8 oclock...ile iliyofanya waambie wafunge mlango kwa nje?

Inaonekana hata utaratibu wa mtu kupandishwa hadi kufikia Uprofessor huujui, sasa sijui unapata wapi huo ujasiri wa kuandika haya!
Unakwenda kusoma paper iliyopandisha? Are you crazy? Uprofessor haupatikani kwa paper moja, na wala haupatikani kwa paper zinazochapishwa kwenye journal za Tanzania tu, ni lazima mtu awe na publication kwenye international journal. Lakini pia, si tu publications, but also kazi nyingine za kijamii ambazo unazifanya.
 
"Kwa mfano UDSM au chuo chochote Tanzania, hakina mfumo wa ulipaji mishahara kulingana na ubora wa tafiti za researchers wake. Pale nyote, so long as mnaitwa professors mtakuwa na mshahara mmoja. Uwe professor wa Kiswahili au professor wa medicine. ......"

Kwa nini umeamua kutolea mfano profesa wa Kiswahili? Hizi dharau kwa wataalamu wa lugha yenu itawaisha lini? Kasumba imewajaa yaani mpaka inashangaza. Mbona usitolee mfano Profesa wa Kiingereza au Kifaransa? Au hawa ni bora kuliko Profesa wa Kiswahili? Afrika bado tuna safari ndefu sana na hawa wakoloni kweli walifanikiwa kututawala kisaikolojia. Unalikuta jitu linaelekea kutoa point na unaanza kujenga matumaini kwamba pengine linajielewa na kujitambua kidogo and then pfuuuu....


 
Tanzania tuna maprofesa wengi na wabaheshimika nje kutokana na research wanazofanya, ukitaka kulijua na kufahamu hilo tembekea COSTECH uone n research ngapi zinaendelea na zipi zimefanikiwa , pia ukitaka kujua hilo tembelea vyuo vya allied science , mfano SUA ,IHI, MUHAS n.k , UD wako well known sababu ya kisiasa , kuna idadi ya maprofesa wengi nawafahamu wanaofanya publication ya research zao katika international journal na kuzifaham lazima uwe interested lakini ukiwa NGWINI utabaki kupiga kelele kwenye mitandao

Tatizo kubwa kwa Tanzania ni kuwa wataalam tumesomesha wenyewe ila wanatumika na mataifa ya nje sababu ya siasa kuwa nyingi hadi kwenye taaluma,
Tatizo lingine, ni kuwa hatuwekezi pesa za kutosha katika research


This.
My heart sinks every time i successfully execute a project that could have been executed in Tanzania. Yes we have many things we can not achieve as a country because of our tiny economy, but we could do more.
As a nation we spend too much to let brilliant Tanzania benefit other nations entirely. There is a certain percentage of benefits that comes back to TZ, but that percentage is smaller and its benefits shallower.
 
Nimejaribu sana kufuatilia PHD za US na Maprof wao..Aisee watu wanapigika sana paper zao kuwa published ktk journals za kueleweka.Watu wote wanapigika hadi wanaonyesha kiwango na weledi ndio wanapita.Si weupe,si wekundu,si wa njano na hata weusi..wengine hadi wanakimbilia kusema ni ubaguzi wa rangi..ila wakipita huwa wanaonyesha hiyo mambo haswa ktk real life.Hapa Bongo naona design km watu wanachukua tuu gamba..labda tuu km kuna siasa ndio zinawakwamisha.Kuna watu wa uchumi,Political science,vyuo vipya km vinapiga promo kwa staff wao fasta fasta fulani.Hivi kuna hizo journal ambazo haziwezi kuwa influenced kisiasa kweli?
.

Kaka Nicholas.
Watanzania wapo wanaopublish kwenye journals nyingi tu duniani.Huwezi kuona publication hizo kama hutazitafuta.Hao anaowasema kimweri yaani ifakara ni mfano wa watanzania wanaojituma katika sayansi ukiachia na hali ngumu tuliyonayo.Kupublish katika scientific journals ni tofauti na kuandika hadithi za gwajima na kundecha,ni fani inayohitaji kwanza kufanya kazi za tafiti,kupata matokea na kwa ustadi kuyaweka maadishi hayo katika journals.
 
Naona umeamua fagilia ifakara kwa vile unafanya hapo.Na hiyo kusema nasema kitu nisichokijua ,ndipo unakosea sana.Bora ungetoa maelezo yako yenyewe ndio yaseme km najua au sijui.Hujajibu nilichokuuliza hapa ,Pia Hivi Ina maana watu wote ktk afya mpo kwenye Malaria tuu?Hizo project za malaria wazo la jumla limetoka kwa wenyewe na zinafanyika duniani kote.US wana historia ya kupambana sana na malaria na tafiri wanazofanya duniani kote ili kupata vimelea wa aina zote.Wamarekani waliwahi tuma marine wao kwenda kuiba dawa ya malaria ambayo ilikuwa ikipatikana ktk mmea ambao ulikuwa ukiota china na wachina waliwhai tangaza kuwa wana dawa inayoweza fagia wadudu haraka sana.Kwa US ilikuwa ni kitu cha kutafuta km dhahabu kwa ajili ya askari wao wanaotembea dunia nzima.Waliiweka operation kabisa na wakafanikiwa uiba huo mmea na kuupelea us na kufanya tafiti zote na kupata formula ya hiyo dawa.Unachoongea hapa ni km wakenya na MPESA..huwa wanaamini ni yao na wao ndio wagunduzi....wakati safaricome na wengine wanapigwa sana makato ya royalty ya patent na services.unasema mafua ya ndege...mbona usisem mabusha,ukoma, kukatika pua, makengeza kwa watz watoto na wakubwa..etc?Kuna shida sana jinsi mnavyofikiri...ndio maana mnaita washina na waarabu ndugu zetu..wakati wao hawataki mbegu zenu.Sidhani hata km setting nzima ni idea ya m bongo.Hizo kelele kuwa hata vyuo vya huko haviwezi na huku kuna sales branches ni lame excuses tuu..kwani Bill gate alipoleke miradi ya malaria Handeni na Ifakara Micorsoft walikuwa hata branch ya sales hapa TZ?Makampuni ya kihindi ya kipumbavu tuu yanamwagiwa hela hadi za kufanya upasuaji wa urembo.... Kuna mengi umeongea kutetea roho yako ktk maeneo uliyo na maslahi nayo...hembu nikuulize ktk vyuo vyetu ni ni asilimia ya masomo yanapata external invigilators kutoka hata nje ya east africa? Kuna fani ambazo hazihitaji labs za kutisha ,je ni patents kiasi gani zinafunguliwa pale UDSM?ujue kila tafiti ina nafasi ya kuja patent ambayo ni hela.Watu wengi wanapewa title na Maprof wao,wanaweza endeleza au anza km ni jipya,au wanaweza badilisha.Ku Excel kwa watu km nyie ni kawaida sana kwa vile ni masters wa concepts za watu,hilo halina shida mtacrame mnarudiarusia sana na kuandika vyema hata km hamuani mlichoandika ila baada ya hapo hakitokuwa na connection ktk real practice kwa vile hakina origine ndani yenu.

Publication za watanzania kwenye international journals zipo ila wamefanya collaboration with european/US scientists. kimweri amekupa mfano kwenye malaria. ingia PUBMED google majina kama prof aboud, msamanga, kilewo, lyamuya, kaaya utapata medical publication kibao
wenzetu wanatenga budget kubwa kwa ajili ya Research wakati budget ya research tanzania haifiki hata 1% of total govt budget
public private partnership in research bado ni ya chini au hamna tanzania
 
Nicholas na Kimweri you both have legit points. Lakini kikubwa tufanye investments kwenye research. We can't pretend and use these excuses kwamba hatuna pesa. Mfano ubadhirifu ambao umefanyika pale Ifakara wote tunaujua. Wale siyo wanasiasa ni wasomi.... Most scientists wanashinda kwenye conferences wikitafuna pesa..kiukweli wasomi wetu ingawa ni wasomi, majority research siyo priority. They are there to make money. Ndo maana Nicholas anachallenge hapa tujikite ku address matatizo yanayoikabili jamii yetu. Yes Resources ni Finyu...lakini ndo maana mkaitwa wasomi..muweze kubuni mbinu za kupata resources? Again tukubali bado kwenye publications wasomi wetu wa Kibongo bado sana. Na ninachokiona hatupendi kushughulisha ubongo wetu. By the way faculty nyingi za ulaya na US wana encourage PhDs students wapublish kusudi wauzike wakimaliza shule.......but it's not a condition to get your phd. I have many examples. Jaribu kufanya utafiti wako wa harakaharaka pale mlimani, mzumbe, udom nk.....Angalia associate professors na senior lecturers wamepublish journals gani most recently.......hutaamini macho yako.....ni full ujanja ujanja....

Mada nizuri ila naona kama vile mnahasira. In short simple statistics will show the ranking of Tanzania is very low and confirmed with little contribution in technology development if not nothing. To me the problem is may b mind- set back ya watu wengi ni kwamba research ambayo hupati hela za cha juu is not a research. Probably nature ya elimu haimotivate mtu kuwa curious. Why cant we assume we are in the era of Galilei or Newton and made discoveries by primitive tools made by themselves ambayo NASA kwa sasa wamevimprove na kutumika kwenye high tech? I do agree money to invest to sophisticated lab can motivate research lakini si kweli sana manake kunasehemu wanavifaa na hawajui wavitumiaje. I think many people are not motivated on discoveries. Kwa wenzetu discoveries ni motivation or applying principles to solve problems which benefit industries and society.
 
Nimejaribu sana kufuatilia PHD za US na Maprof wao..Aisee watu wanapigika sana paper zao kuwa published ktk journals za kueleweka.Watu wote wanapigika hadi wanaonyesha kiwango na weledi ndio wanapita.Si weupe,si wekundu,si wa njano na hata weusi..wengine hadi wanakimbilia kusema ni ubaguzi wa rangi..ila wakipita huwa wanaonyesha hiyo mambo haswa ktk real life.Hapa Bongo naona design km watu wanachukua tuu gamba..labda tuu km kuna siasa ndio zinawakwamisha.Kuna watu wa uchumi,Political science,vyuo vipya km vinapiga promo kwa staff wao fasta fasta fulani.Hivi kuna hizo journal ambazo haziwezi kuwa influenced kisiasa kweli?

Mh. umeuliza swali gumu sana kwa Tanzania! Tanzania kila kitu ni siasa tu! Hata hizo PhD watu wengi wanazipata kirahisi bila ku-publish article hata moja! Unachotakiwa kufanya ni kuwa karibu na msimamizi wa thesis yako ili utakachoandika akubaliane nacho hata bila kusoma umeandika nini! Baada ya hapo atatuma kopi ya hiyo thesis yako kwa mtu fulani anayemfahamu (wao wanawaita external examiners) ili apitie na kutuma maoni yake ya uongo na ukweli. Baadae UDSM postgraduate officers watakagua kama thesis yako iko kwenye paper margins wanazozitaka kisha unapewa master au PhD yako unasepa, unaenda kutangaza picha za graduation facebook!

Hebu jiulize Magufuli ali-publish wapi kazi yake kama si swahiba yake Akwilapo kumzawadia PhD! Tena afadhali hapo UDSM kiasi fulani watu hata kama hawa-publish lakini wanasota kiasi chake kupata hayo majibu ya uongo na ukweli ili kuandika fake dissertations (wao wanasema masters/PhD za kupikwa).

Vyuo vingine vya Tanzania ni majanga kwelikweli! Chuo kibovu kuliko vyote kwa postgraduate studies TZ ni hicho kinachoitwa open university of Tanzania (OUT) - ni upuuzi mtupu hakuna kitu kipya mwanafunzi anapata pale zaidi ya vyeti kwaajili ya salary promotions!

Hata vyuo vipya ni vichekesho TZ, niliangalia tovuti ya Nelson Mandela - Arusha Institute of Science and Technology. Nikakutana na list of publications, O O my God! Jamaa wanapublish kwenye journals za hovyo hovyo kabisa. Zile za wajasilia mali, unaweza kuziita wachapishaji wa uchafuzi wa tafiti (Research dirtiness publishers). Zile journals wanatoza publication charges kuanzia kama $50 mpaka $100. Hawasomi hata author(s) kaandika nini - wao ukishalipa hizo senti zao wanaweka huo uchafu online kwenye website yao. NM-AIST wanakiabisha chuo chao bora hata wasingeweka hiyo fake list of publications kwenye website ya chuo.
 
Mada nizuri ila naona kama vile mnahasira. In short simple statistics will show the ranking of Tanzania is very low and confirmed with little contribution in technology development if not nothing. To me the problem is may b mind- set back ya watu wengi ni kwamba research ambayo hupati hela za cha juu is not a research. Probably nature ya elimu haimotivate mtu kuwa curious. Why cant we assume we are in the era of Galilei or Newton and made discoveries by primitive tools made by themselves ambayo NASA kwa sasa wamevimprove na kutumika kwenye high tech? I do agree money to invest to sophisticated lab can motivate research lakini si kweli sana manake kunasehemu wanavifaa na hawajui wavitumiaje. I think many people are not motivated on discoveries. Kwa wenzetu discoveries ni motivation or applying principles to solve problems which benefit industries and society.

Dah, Ndugu, yani unataka tufanye research za 15th century kwa kuwa tu tuonekane tunafanya research? yani tuendelee kulazimisha kuwa gravitational force is constant everywhere,newton's laws are valid, wakati tumeshafahamu kuwa kuna relativity?

Time changes, era changes, but No one is crazy enough to research on primitive ideas that have been proven obsolete just for the sake of it. Funding ya research duniani kote iko tied na ROI,that also has it's sway.So researchers have to work on topics that have not yet been solved before. No one will fund you to develop equations of motion in 2015.

Kama taifa halina GDP kubwa kuwa juu kwenye R&D ni ndoto za mchana, tuwe tunafikiria vitu realistic sio kukurupuka jamani.

Let's do simple things well then when we have that handled we can move ahead, by forcing to be experts in everything we come out as babies wanting to ride a bike while can't even stand up.

Kitu kingine, sio kila researcher duniani anafanya discoveries kubwa unazozifikiria wewe, discoveries are mostly accidental and rare, research is a very systematic excercise of solving complex problems by breaking them into very tiny solvable parts. Anyone who went though a PhD program would realise that, it does not matter how smart you are, you have to break down a complex problem and solve the part you are most interested with, that is why people are awarded PhD based on their Thesis titles and not based on their subjects. A researcher is very good at solving particular set of problems, and may be not good at all in solving other problems.

The very best researches are those that are ahead of their time and rarely receive immediate accolades, i have given an example of that.

The computer networks you are using now are using 1940's mathematics algorithms that were developed by mathematicians who were interested in solving a puzzle.Yes a puzzle.

The guys who solved the puzzle are surely dead, with zero accolades but left behind that one piece of puzzle everyone is thankful about.Examples are endless, do not discourage or lay blame on local researchers just because you do not see their impact right away.
 
Binafsi nawajua maprofesa kama 10 hivi wa UDSM ambao wameandika vitabu (vingine vikitumika kama text books kwenye vyuo kadhaa Marekani) na machapisho mengine ambayo yalichapishwa kwenye majarida ya kimataifa, miradi ya UN, na kadhalika.

Pia, wengine walishiriki hadi kuhariri vitabu, majarida, na presentations zao kwenye makongamano na mikutano mbalimbali ziliingizwa kuwa chapters za vitabu mbalimbali.

Tatizo wote hao ambao nawajua mimi ni ama wameshastaafu na ni wazee sana sasa hivi au ni marehemu. Wengi wao walisomea shule za seminari halafu wakaenda Makerere kabla ya kwenda Marekani na Uingereza kwa shahada zao za juu.

Hawa ndiyo walioipa sifa UDSM enzi hizo na kukifanya kuwa ni chuo cha kuheshimika na kilichovutia hata walimu wageni kuja kufundisha.

Kipindi cha miaka ya 70 na 80 nakiona ndo kilikuwa 'the golden era' ya UDSM. Kuanzia miaka ya kati ya 90 kuja mbele, chuo kilianza kupoteza polepole ile sifa na heshima kilichojijengea.

Sasa sielewi kwa nini siku hizi ni tofauti na zamani. UDSM wameshusha viwango vya mtu kuwa mhadhiri au...?
 
Juzi niliona tangazo mitaani , linasema kwa kuuandika thesis na paper aina yoyote kwa ajili ya masters au phd basi wasiliana nasi !!!!!
Nilipigwa na mshangao kumbe watu wana nunua hivi vitu na baadae unamkuta jamaa mimi bwana nimesomaa enhee
 
Juzi niliona tangazo mitaani , linasema kwa kuuandika thesis na paper aina yoyote kwa ajili ya masters au phd basi wasiliana nasi !!!!!
Nilipigwa na mshangao kumbe watu wana nunua hivi vitu na baadae unamkuta jamaa mimi bwana nimesomaa enhee


Hivyo ni vitu vya kawaida dunia nzima, hata UK ukitaka huduma hizo zipo, sio kwenye thesis hata Homeworks n.k, Kila kitu cha ajabu unachokiona kwenye mfumo wa elimu TZ kilishawahi fanywa dunia ya kwanza, hakuna kipya.

In higher education, kuna countermeasures za kuzuia plagiarism na madudu mengine ya aina hiyo. vyuo vya hovyo visivyo na muda wa ku-implement counter measures ndio vinaathirika kwa kutoa wanafunzi bogus.
 
Nimejaribu sana kufuatilia PHD za US na Maprof wao..Aisee watu wanapigika sana paper zao kuwa published ktk journals za kueleweka.Watu wote wanapigika hadi wanaonyesha kiwango na weledi ndio wanapita.Si weupe,si wekundu,si wa njano na hata weusi..wengine hadi wanakimbilia kusema ni ubaguzi wa rangi..ila wakipita huwa wanaonyesha hiyo mambo haswa ktk real life.Hapa Bongo naona design km watu wanachukua tuu gamba..labda tuu km kuna siasa ndio zinawakwamisha.Kuna watu wa uchumi,Political science,vyuo vipya km vinapiga promo kwa staff wao fasta fasta fulani.Hivi kuna hizo journal ambazo haziwezi kuwa influenced kisiasa kweli?
Nishiiiiida
 
Mada ni nzuri sana, mnadhami nini kifanyike ili tutoke hapa tulipo? tusiangalie tulipoangukia bali kisiki tulichojikwaa. Je, bongo kuna journal ngapi ama zipi za kufanyia publication? ukiacha hizo za IHI, Ebola zingine zinahusu nini? link zao je? kwa bigina anayetaka kupublish anafanyaje? namna ya kuwa member nayo je? masaada tafadhari


QUOTE=baro;12412830]Tanzania tuna maprofesa wengi na wabaheshimika nje kutokana na research wanazofanya, ukitaka kulijua na kufahamu hilo tembekea COSTECH uone n research ngapi zinaendelea na zipi zimefanikiwa , pia ukitaka kujua hilo tembelea vyuo vya allied science , mfano SUA ,IHI, MUHAS n.k , UD wako well known sababu ya kisiasa , kuna idadi ya maprofesa wengi nawafahamu wanaofanya publication ya research zao katika international journal na kuzifaham lazima uwe interested lakini ukiwa NGWINI utabaki kupiga kelele kwenye mitandao

Tatizo kubwa kwa Tanzania ni kuwa wataalam tumesomesha wenyewe ila wanatumika na mataifa ya nje sababu ya siasa kuwa nyingi hadi kwenye taaluma,
Tatizo lingine, ni kuwa hatuwekezi pesa za kutosha katika research[/QUOTE]
 
Mada nzuri. PhDs zipo feki na zipo za ukweli kama yangu. Shida ni kwamba kama jamaa mmoja alivyosema hapo juu, ukiishi kwenye tope huwezi kuwa msafi. Jamii yetu iko kwenye tope hivyo na wote wanaonekana wachafu. Nchi haiwekezi katika utafiti, halafu mlevi mmoja, mjinga mmoja anaibuka na kusema 'tunataka nchi yetu iwe ya uchumi wa kati ifikapo 2025'. Mtu huyo tena ni mkulu. Kwa akili ya kawaida utagundua huyu jamaa hajasoma hata kidogo kwani anachokiongea ni tofauti na reality on the ground.

Hizo PhDs haziwezi kufanya maajabu. Bado hiyo PhD ina hussle na economic security, so ikitokea upenyo wa kutimkia nchi nyingine kwake hataangalia nyuma.
 
Tusikimbilie tu kuwalaumu wasomi wetu kwa hoja ambazo hatujafanyia utafiti

Mie nashangaa sana mtu anaporopoka kuwa PhD za Tanzania bomu!halafu ukitazama huyo mtu anayemtolea mfano hiyo PhD yenyewe hajawa awarded na Tanzania University.

Chukulia mfano Kitila Mkumbo, his PhD was awarded in UK, by a very strong Russel Group University,University of Southampton. Leo hii anakuja mtu anaropoka kuwa PhD yake feki, kwa kuwa tu hapendi mitazamo yake au aina ya siasa anazofanya.

Watu wanashindwa kutenganisha Siasa na facts. Kingine wasichojua wengi ni kuwa Most Academicians body of work is built over time, you can not judge a researcher 5-10 years removed from PhD completion, this person is still technically at junior-mid level of their carreers. Ni sawa na kumlaumu Mchezaji kama Herrera au Neymar kwa kutokuchukua Balon d Or. Kuna mchangiaji amesema wasomi wengi anaowafahamu wenye international accholades ni old guys and most of them are either retired or dead. Yes. That is one reality check about pursuing career in academics. People begin to know how good someone is long after their prime.

As for UDSM i think it has pretty well rounded academicians at the time, its the university administration that should utilize them to the best of their capabilities.

Another point someone raised about financial security is a huge elephant in the room. People's brains operate best when they are free of minor worries.sasa researcher hajui mwezi ujao ada ya shule atatoa wapi, unategemea akae chini 10 hours kufikiria kuhusu utafiti wake?na mshahara haukutani? it's humanly impossible.
 
Wengine huwa naona wanaweka utafiti journal, Dar es salaam. But ni wachache sana. Kuna watu ni asso. prof saa hizi, but hata nitkitafuta kwa jina alichokwisha publish, sipati. Mpaka naduwaaa tu

Mtu anafanya kautafiti, methodologically invalid!!! Design ya study ndio kichekesho!! Vimechanganywa vitu humo mpaka unashindwa kuelewa alikuwa anafanya nini! Hafikirii sample size, no inclusion or exlusion criteria, selection ya sample ilikuwaje, level of significance ya results zake depending na study design aliyotumia, cha zaidi unaona results kwa percentage!!! Halafu anapewa PhD na U Professor!!!! Mtoa mada nakubaliana na wewe kabisa, kuna Realiable Journals ambazo mtu akipublish hapo unajua yuko vizuri, sio hivi vya kwetu vya mtaani......Of course mtu anaweza akasema kuna limited funding huku kwetu na Siasa ni zaidi ya sayansi (Research).....watu wako kisiasa zaidi!!!
 
Inaonekana hata utaratibu wa mtu kupandishwa hadi kufikia Uprofessor huujui, sasa sijui unapata wapi huo ujasiri wa kuandika haya! Unakwenda kusoma paper iliyopandisha? Are you crazy? Uprofessor haupatikani kwa paper moja, na wala haupatikani kwa paper zinazochapishwa kwenye journal za Tanzania tu, ni lazima mtu awe na publication kwenye international journal. Lakini pia, si tu publications, but also kazi nyingine za kijamii ambazo unazifanya.
Mbona unaharibu zaidi...?Umepiga kelele kuwa mjuaji sana ila umeishia ktk point mmoja.PAPER KUCHAPISHWA NA SIJASEMA KUWA NI PAPER MOJA NA SEHEMU MOJA.Kwanini usingesema wanapublish wapi penye hiyo reputation ndio swali langu kuu.Otherwise ni kilele tuu na majigambo unaleta hapa kuonyesha kuna ubabaishaji bongo.
 
Publication za watanzania kwenye international journals zipo ila wamefanya collaboration with european/US scientists. kimweri amekupa mfano kwenye malaria. ingia PUBMED google majina kama prof aboud, msamanga, kilewo, lyamuya, kaaya utapata medical publication kibao wenzetu wanatenga budget kubwa kwa ajili ya Research wakati budget ya research tanzania haifiki hata 1% of total govt budget public private partnership in research bado ni ya chini au hamna tanzania
ktk Hivyo vyuo ukishirikishwa km si sehemu ya main haina sana mchango kwako ktk kufikiriwa.Na ndio maana nilimwambia jamaa kirahisi tuu kutumia mawazo ya wengine hakuna msaada sana.Jamaa alifume na kuanza niona sijui,naweza kuwa sijui ndio maana nauliza ila sidhani km sina logic ya kutosha kuona btn lines.Suala la budget ni total lie, kuna areas nyingine hazihitaji fund kubwa sana.Na ni jukumu la mbunifu kudesign njia zaidi ya moja zinazopunguza kikwazo cha hela.Au kujua namna ya kuweza unganisha kazi yake na interest za funders.Sometimes kuingia ktk kisicho na interest kwa funders pia kunaweza maanisha kwamba hilo wazo pia halina maana ktk jamii..linaweza kuwa ni wazo tuu la kupatia gamba lakini halitotumika ktk uhasilia.Kitu ambacho ni shida ingine.Tumeona research kibao bongo ambazo hazijawahi to lab na kuingia ktk market ktk large scale.
 
Back
Top Bottom