Hivi mapenzi matamu ni lazima fedha kiwe kigezo kwa kinadada

Mtasababisha tuhofie kupenda wenye mipesa yao kwa kuhisi wanaweza kufikiri tumewapendea pesa.
 
Ndio mnawapendea pesa!!!! Sijawahi ona msichana mzuri yupo na mtu aliyechokaaa kabisa asiye na mbele wala nyuma!

wenye pesa wenyewe ndio wanawafata wasichana wazuri...
Hata hivyo, kama pesa yaweza kuwa kigezo kimojawapo cha kunifanya nifurahie mahusiano, kwanini nidate na choka mbaya?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom