Hivi Mapambano tuition centre inafaa kwa ajiri ya kujiandaa ku resit mtihani wa form four? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi Mapambano tuition centre inafaa kwa ajiri ya kujiandaa ku resit mtihani wa form four?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Sunshow, Feb 27, 2012.

 1. Sunshow

  Sunshow JF-Expert Member

  #1
  Feb 27, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 943
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Habari wana jamvi, katika heka heka za kumtafutia mdogo wangu sehemu ya kujiandaa kwa ajiri ya kurudia mtihani wake wa kidato cha nne, nimekutana na Mapambano ile centre ya pale nyuma ya Nakiete pharmacy Mwenge. Wameniambia kuwa wana waalimu wazuri. Je, kuna yeyote mwenye kuijua vizuri hii centre na je wanafunzi wake huwa wanafaulu? Maana nilitaka akapate tuition pale na mtihani afanyie Jitegemee.
   
 2. Mabwepande

  Mabwepande JF-Expert Member

  #2
  Feb 27, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 230
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ongea na Mwanaasha, naye ana reseat.
   
 3. D

  DOMA JF-Expert Member

  #3
  Feb 27, 2012
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 946
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Yes call mwanaasha knows every thing
   
 4. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #4
  Feb 27, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  mwacheni huyu binti wa jk apumzke jaman,kwan kufeli kitu gani bwana?
   
 5. Sunshow

  Sunshow JF-Expert Member

  #5
  Feb 27, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 943
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  So what?
   
Loading...