Hivi mapacha huwa wanakuwa na maadili mabaya? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi mapacha huwa wanakuwa na maadili mabaya?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Viol, Mar 8, 2012.

 1. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #1
  Mar 8, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  Katika pitapita zangu nimewahi kuona mapacha wengi wakiwa na maadili na kuwa na tabia njema,ila sijawahi kuona
  mapacha wamekuwa na maadili mabovu kama uwizi,ubakaji etc
  Hivi ni mimi tu sijawaona mapacha wanaofanya matendo mabaya?
   
 2. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #2
  Mar 8, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  ...nimeona
  kwenye movie!
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  Mar 8, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,033
  Trophy Points: 280
  ni wewe tu aisee hujawaona....nimeshaona mapacha walioshirikiana kumuua demu wa mmoja wao....acha kabisa....
   
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  duh . . .
  Tabia mbaya ni nini?
  Hivi kuzaa ukiwa std 6 ni tabia mbaya?

  Kama ni mbaya, wapo mmoja alizaa akiwa la 6, mwingine akazaa baada tu ya mtihani wa std 7.
   
 5. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #5
  Mar 8, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  ila mtaani kwenu hujawaona
   
 6. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #6
  Mar 8, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  Kuna mapacha form 2 waliiba atlas langu. Nyambaaf zao
   
 7. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #7
  Mar 8, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  halafu siku zote iwe kizuri au kibaya wanashirikiana
   
 8. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #8
  Mar 8, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  hiyo siyo tabia mbaya,labda bahati mbaya,ila kuna kama kuvuta au kuuza bangi,uwizi etc
   
 9. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #9
  Mar 8, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  Angalia kwanza pembeni inawezekana wapi JF
   
 10. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #10
  Mar 8, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  Hapa pembeni namuona preta tu. Una utani na preta?
   
 11. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #11
  Mar 8, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  hahahahaha ya kulalia hii
   
 12. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #12
  Mar 8, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  mbadooo!
   
 13. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #13
  Mar 8, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  akurudishie atlasi yako au kama vipi tumtangaze humu JF kuwa ye na pacha wake wanadaiwa atlas
   
 14. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #14
  Mar 8, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Kabaka
  ipi tena yakulalia??
   
 15. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #15
  Mar 8, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  Uilalie kidogo kidogo isije ikakuumiza kabanakabana
   
 16. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #16
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Kuna wale mapacha watatu walioliibia taifa mazrilioni.

  Tena wale nyambaf zaidi

   
 17. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #17
  Mar 8, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  mi mwenyewe nina pacha wangu, ngoja niwaulize majirani juu ya tabia zetu nitarudi kutoa majibu
   
 18. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #18
  Mar 8, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  hiyo hapo kwa dawa tamu
   
 19. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #19
  Mar 8, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  hehehe hii ndo saizi yangu mbona?
   
 20. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #20
  Mar 8, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  Inauma sana mkuu, yaani enzi zile ukikuwa na atlas tu basi warembo wote darasani wanakuona ban ki moon
   
Loading...