....Hivi manispaa ya ilala imefilisika.....????...au matumizi makubwa kuliko mapato? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

....Hivi manispaa ya ilala imefilisika.....????...au matumizi makubwa kuliko mapato?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mymy, Apr 2, 2012.

  1. m

    mymy JF-Expert Member

    #1
    Apr 2, 2012
    Joined: Dec 22, 2011
    Messages: 243
    Likes Received: 23
    Trophy Points: 35
    ...kwanza habari za leo wana jf. kuna issue zinaendelea pale halmashauri ya ilala, wamesimamisha ajira za wafanyakazi waliokua na ajira za mikataba na halmashauri hiyo sababu ni kuwa "halmashauri haina fedha za kuwalipa mishahara". hivi mapato yote yanayokusanywa yanaenda wapi....?
     
  2. F

    FILOMBE Member

    #2
    Apr 2, 2012
    Joined: Mar 2, 2012
    Messages: 27
    Likes Received: 0
    Trophy Points: 0
    Unatuuliza sisi. Mwambie diwani wako aliye katika council hiyo atakujibu ati. Mnayataka wenyewe mkiambiwa hmsikii.
     
  3. Foundation

    Foundation JF-Expert Member

    #3
    Apr 2, 2012
    Joined: Nov 25, 2010
    Messages: 1,454
    Likes Received: 245
    Trophy Points: 160
    Muulize Mbunge na diwani wako.
     
  4. MJINI CHAI

    MJINI CHAI JF-Expert Member

    #4
    Apr 21, 2012
    Joined: Dec 12, 2010
    Messages: 1,331
    Likes Received: 250
    Trophy Points: 180
    Lete chanzo.....usikurupuke....


     
  5. z

    zilakina JF-Expert Member

    #5
    Apr 21, 2012
    Joined: Sep 16, 2011
    Messages: 293
    Likes Received: 32
    Trophy Points: 45
    Pole kijana ila hilo agizo la kusimamisha wafanyakazi wa mkataba mbona limetoka muda mrefu tena cyo ilala pekee ni halmashauri zote.
     
Loading...