Hivi mamlaka zipo wapi Dr.Slaa kupigwa mikwara ya kufanya mkutano,na CCM kushabikia?

Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,260
7,195
HIvi najiuliza hawa masalia na maCCM waliokuwa akishabikia Dr.Slaa kutishiwa fanya mikutano kule ukanda wa magharibi(mikoa ya kigoma,shinyanga etc).Ni sheria gani inayowapawahuni au chama ngine nguvu ya kuwanyima wengine haki yao?

Msajili wa vyama alikuwa wapi na anafanya nini?Je hakuona shida popote?Vipi wasemaji wa polisi,serikali yenyewe, msajili wa magazeti na wengine ambao walikuwa wakishabikia badala ya kukemea?NImesubiri sana nisikie lolote ktk hizi mamlaka au hata conventional wisdom ktk media na jamii ,bahati mbaya sijaona.Zitto naye pia sijamsikia akikemea au kukana hilo.

Pongezi kwa CDm kutoingia ktk fear na terror ya hawa mashetani,na magaidi walioanza eneza chukia.

NI tanzania tuu unaweza ona huu ujinga.
 
mada ya kipuuzi kabisa hii

karibuni headless wa Lumumba..kinachoongelewa hapa beyond kiwango cha sanity walichonacho maCCM wote.

-Sasa km polisi walikuwa na kazi walikwenda fanyanini ktk mkutano wake kigoma?
 
HIvi najiuliza hawa masalia na maCCM waliokuwa akishabikia Dr.Slaa kutishiwa fanya mikutano kule ukanda wa magharibi(mikoa ya kigoma,shinyanga etc).Ni sheria gani inayowapawahuni au chama ngine nguvu ya kuwanyima wengine haki yao?

Msajili wa vyama alikuwa wapi na anafanya nini?Je hakuona shida popote?Vipi wasemaji wa polisi,serikali yenyewe, msajili wa magazeti na wengine ambao walikuwa wakishabikia badala ya kukemea?NImesubiri sana nisikie lolote ktk hizi mamlaka au hata conventional wisdom ktk media na jamii ,bahati mbaya sijaona.Zitto naye pia sijamsikia akikemea au kukana hilo.

Pongezi kwa CDm kutoingia ktk fear na terror ya hawa mashetani,na magaidi walioanza eneza chukia.

NI tanzania tuu unaweza ona huu ujinga.

Haya kalale wajinga wenzio wenye upofu kama wewe watakuja kukusupport muda si mrefu
 
mamlaka gani ziache kazi ya kujenga nchi na kuwatumikia watz zianze kuhangaika na mzinifu?

Hata kama hauna nidhamu, ficha mapungufu yako unapokuwa kwenye hadhira, DR ama ana umri kama wa baba yako na kama unalingana naye basi wewe ni moja kati ya failures kwenye maisha, japo nakupa pole sababu ni mfumo mbovu wa utawala wa ccm ndio umesababisha watu wengi kama nyie kuishi maisha ya ufukara na upweke wa kupindukia.
 
kamwambie kwanza slaa afiche mapungufu yake kwa kuacha zinaa na kurudisha mke wa mtu aliyempora. na mbowe aache kuwapa wabunge viti maalum mimba zisizotarajiwa
 
Mfanye u.p.u.m.b.avu wenu kutegemea mamlaka piga tu uyo babu ikibidi wa nini.
 
Wanatetea wezi na wabakaji, kama Zitto angekuwa na uchungu na CDM kama alivyokuwa anasema angewakemea hawa watu, ila kwa kuwa ni watu wanaofanya kazi yake hawezi
 
usiogope kamanda ndiyo siasa zilivyo hata kikwete hupopo lewa mawe itakuwa vibango tena vichafu vichafu..
mbona kikwete tulishamchimba biti asikanyage Atown kipindifulani..
 
Wanatetea wezi na wabakaji, kama Zitto angekuwa na uchungu na CDM kama alivyokuwa anasema angewakemea hawa watu, ila kwa kuwa ni watu wanaofanya kazi yake hawezi

vipi hawa wanaopora mamilioni ya ruzuku ya chama wanaenda kuvinjari na mahawara ulaya na wengine wanaenda kununua majumba dubai (slaa na mbowe)
 
kamwambie kwanza slaa afiche mapungufu yake kwa kuacha zinaa na kurudisha mke wa mtu aliyempora. na mbowe aache kuwapa wabunge viti maalum mimba zisizotarajiwa

It is interesting, umejiunga humu tarehe kumi na tano mwezi jana lakini uko very fluent kwenye matusi yaliyozoeleka humu ndani, au ulikuwa unaingia kama guest kwa kipindi kirefu sana.

Binafsi hata mimi sipendezwi na tabia hizo lakini mbona sikuoni japo ukikemea kwa namna hii hii matendo ya Kapuya? Kinana na Ma concubine wake wanaoingia nchini kupitia KIA kwa kukiuka taratibu nyingi za idara ya uhamiaji, au basi PINDA (nadhani unajua mahusiano yake na Madam Wema, n.k), au Lowasa basi hasa mke wake (unazijua kadhia zake) n.k

Lakini unapoonekana kuingiza haya mambo tena kwenye thread isiyo na mahusiano nayo, kwa kweli unajidharirisha kwa kiwangu kikubwa sana.
 
Back
Top Bottom