Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,195
HIvi najiuliza hawa masalia na maCCM waliokuwa akishabikia Dr.Slaa kutishiwa fanya mikutano kule ukanda wa magharibi(mikoa ya kigoma,shinyanga etc).Ni sheria gani inayowapawahuni au chama ngine nguvu ya kuwanyima wengine haki yao?
Msajili wa vyama alikuwa wapi na anafanya nini?Je hakuona shida popote?Vipi wasemaji wa polisi,serikali yenyewe, msajili wa magazeti na wengine ambao walikuwa wakishabikia badala ya kukemea?NImesubiri sana nisikie lolote ktk hizi mamlaka au hata conventional wisdom ktk media na jamii ,bahati mbaya sijaona.Zitto naye pia sijamsikia akikemea au kukana hilo.
Pongezi kwa CDm kutoingia ktk fear na terror ya hawa mashetani,na magaidi walioanza eneza chukia.
NI tanzania tuu unaweza ona huu ujinga.