hivi mama mjamzito kuwa kiburi na dharau kwa mumewe ni natural au ni tabia yake?

Muarubaini

JF-Expert Member
Apr 7, 2012
222
48
mwanzoni hakuwa hivyo, ila sikuwa kuishi naye kwa muda mrefu akiwa hana mimba, sasa nashindwa kuelewa alificha makucha au ni kwa sababu ya mimba! Na mimba yenyewe ni kubwa. Mwenye exprience tafadhali ?
 
NdasheneMbandu

JF-Expert Member
Jan 2, 2012
940
308
mwanzoni hakuwa hivyo, ila sikuwa kuishi naye kwa muda mrefu akiwa hana mimba, sasa nashindwa kuelewa alificha makucha au ni kwa sababu ya mimba! Na mimba yenyewe ni kubwa. Mwenye exprience tafadhali ?
The truth and this is very natural ni kwamba huyo mke hakupendi. Hata kabla ya mimba alikuwa hakupendi. It is just like MLEVI akinywa pombe na kuanza kuongea matusi. Kinachotokea ni kwamba pombe inakuwa imempatia guts za kuongea lakini matusi yalikuwepo kichwani kabla hata ya kunywa pombe.
 
IGWE

JF-Expert Member
Feb 3, 2011
9,375
6,996
the truth and this is very natural ni kwamba huyo mke hakupendi. Hata kabla ya mimba alikuwa hakupendi. It is just like mlevi akinywa pombe na kuanza kuongea matusi. Kinachotokea ni kwamba pombe inakuwa imempatia guts za kuongea lakini matusi yalikuwepo kichwani kabla hata ya kunywa pombe.

sure.........
 
Muarubaini

JF-Expert Member
Apr 7, 2012
222
48
Anzisha mada yenye mantiki. Kwa mawazo yako, unaona hii ni mada kweli?

wewe kwa upeo wako yenye mantiki kwako ni ipi? Kama huna interest kwan umeombwa kuchangia. Kuna thready ngapi hapa jf? Hiv lazma zote zikufurahishe. Wewe inaonekana ni fukara wa mawazo.
 
Mtoto wa kitaa

Senior Member
Nov 7, 2012
149
16
Mwanamalundi happy new year! kwani umerogwa weye?? HAYAKUHUSU YA HUMU, KACHANGIE KWAKINA MZEE MWANA KIJIJI, MAANA NDIYE HASWAAAAAAA ROLE MODEL WAKO! LOL

kweli duniani watu tuko tofauti sana mambo gani mnayoandika humu mtu ukitulia bila kuandika chochote utapungukiwa, maswala mengine mtu unatakiwa kuwa serius kama wewe unaona sio tatizo si ukae kimya ,usipende kuchafua hali ya hewa humu, mtu anatatizo anaitaji ushauri mtu anamwandikia utumbo ,mambo mengine ni kuwakatisha tamaa wengine kama unaona huna cha kushauri unapita kama wengine alaaa! USIPENDE KUTAFTA SIFA ZA KIJINGA HUMU JAMIIFORUM.
 
Last edited by a moderator:

The secretary

JF-Expert Member
Jan 14, 2012
4,150
2,535
The truth and this is very natural ni kwamba huyo mke hakupendi. Hata kabla ya mimba alikuwa hakupendi. It is just like MLEVI akinywa pombe na kuanza kuongea matusi. Kinachotokea ni kwamba pombe inakuwa imempatia guts za kuongea lakini matusi yalikuwepo kichwani kabla hata ya kunywa pombe.

unaongea pasipokuwa na experience yoyote
 
The secretary

JF-Expert Member
Jan 14, 2012
4,150
2,535
Muarobaini hiyo ni hali ya mimba na hakijifungua itaisha ni mabadiliko ya hormone kuna wanaopenda waume zao wakati kama huo na wapo wanaowachukia tena zaidi katika siku za mwishoni yani ye kila kitu kwake anaona kama usumbufu na ukizingatia anakuwa amechoka mwelewe na umchukulie poa, ushauri wa kua hakupendi si wa kweli na hata baada ya kujifungua utaona umbali kati yako na yeye unakuwepo mapenzi anakuwa kahamishia kwa mtoto ni kitu cha kawaida japokuwa wanawake wengi wanajisahau sana.
 
cacico

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
8,362
7,791
kweli duniani watu tuko tofauti sana mambo gani mnayoandika humu mtu ukitulia bila kuandika chochote utapungukiwa, maswala mengine mtu unatakiwa kuwa serius kama wewe unaona sio tatizo si ukae kimya ,usipende kuchafua hali ya hewa humu, mtu anatatizo anaitaji ushauri mtu anamwandikia utumbo ,mambo mengine ni kuwakatisha tamaa wengine kama unaona huna cha kushauri unapita kama wengine alaaa! USIPENDE KUTAFTA SIFA ZA KIJINGA HUMU JAMIIFORUM.
na we umerogwa au?? kazi ipo wallahi!
 
Muarubaini

JF-Expert Member
Apr 7, 2012
222
48
Muarobaini hiyo ni hali ya mimba na hakijifungua itaisha ni mabadiliko ya hormone kuna wanaopenda waume zao wakati kama huo na wapo wanaowachukia tena zaidi katika siku za mwishoni yani ye kila kitu kwake anaona kama usumbufu na ukizingatia anakuwa amechoka mwelewe na umchukulie poa, ushauri wa kua hakupendi si wa kweli na hata baada ya kujifungua utaona umbali kati yako na yeye unakuwepo mapenzi anakuwa kahamishia kwa mtoto ni kitu cha kawaida japokuwa wanawake wengi wanajisahau sana.
asante kwa ushauri mkuu.
 
Kambaku

JF-Expert Member
Nov 12, 2011
5,275
18,861
Anzisha mada yenye mantiki. Kwa mawazo yako, unaona hii ni mada kweli?

Mods ninapata sana mashaka na hawa kina Mwanamalundi, hivi hakuna namna mtu ukawa unalipa ili mwingine apigwe Ban? Au watu 10 wakijikusanya wakakusanya saini zao na kuomba mtu apigwe Ban, tafadhali Mods tafuteni namna jamani.

Inaweza kusaidia
 
Sabry001

JF-Expert Member
Jun 28, 2011
1,064
353
Ndugu muarobaini, angalia usipotoshwe na watu ambao ni less experienced ktk mambo ya ndoa na familia. Pole kwa mnalopitia kwa sasa bt ni la kawaida sana kwa baadh ya watu. Mimba hubadili karibia kila ki2 ktk mwili wa mwanamke so kwa sasa unatakiwa uwe mpole na mpe support ktk hali na hatua zote! Kama mimba inampa mwanamke kifafa, ukichaa na hata mauti je ni ukorofi na vi2 vingne vidogo vidogo atashindwa kuwa navyo au kubehave? Be a man as u hv to knw hayo mabadiliko hudumu mpaka miezi 3 baada ya kujifungua, ila inategemea na mtu. Kila la heri na ubarikiwe!
 
Fungo N.

JF-Expert Member
May 20, 2011
252
43
Mimi kidooogo niachane na mke wangu,manake alinichukia kupita kiasi ktk miezi ya 8 na 9 but baada ya kujifungua ni kama kazaliwa upya ananipenda kupita kiasi.HONGERA ila mimba ikifika wiki 32 mpelele hosp.akapime mkao wa mtoto tumboni,.
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom