Hivi Rais Samia angeamua kuanzisha uchunguzi wa tukio la Lissu kupigwa risasi, sukuma gang wangekuwa na hali gani? Shukurani kamsitiri

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,011
144,371
Hawa jamaa nawashangaa sana kumlaumu Rais Samia kuwa anafanya mambo kinyume na Mwendazake na kwamba anajaribu kuharibu wanachokiita Legacy ya Mwendazake!

Binafsi najiuliza leo hii Mama angemuru uchunguzi huru wa tukio la Lissu kupigwa risasi, hali ya hawa watu itakuwaje? Je, si wangelala na viatu vitandani au wangetembea wamevaa boxer vichwani?

Mimi nadhani wamshukuru sana huyu Mama kumsitiri Mwendazake katika hili vinginevyo wangetamani ardhi ipasuke waingie huko na wapotee kabisa katika uso wa hii dunia.

Tuacheni sisi ndio tumlaumu kwa uovu anaoutenda /anaoubariki kama huu wa kumtesa Kamanda wa Anga lakini sio nyie SUKUMA GANG mnaofichiwa uovu wenu na wa Mwendazake.

Narudiia, hampaswi kumlaumu huyu Mama kwakuwa anawabeba pakubwa mno kwani Mwendazake amebariki uovu mwingi sana alipokuwa ofisini.

Tuacheni sisi tumlaumu lakini kamwe sio nyie.

La vifaranga cha mtoto.
 
Hawa jamaa nawashangaa sana kumlaumu Mama kuwa anafanya mambo kinyume na Mwendazake na kwamba anajaribu kuharibu wanachokiita Legacy ya Mwendazake!.

Binafsi najiuliza leo hii Mama angemuru uchunguzi huru wa tukio la Lissu kupigwa risasi, hali ya hawa watu itakuwaje?Je, si wangelala na viatu mitandaoni au wangetembea wamevaa boxer vichwani?

Mimi nadhani wamshukuru sana huyu Mama kumsitiri Mwendazake katika hili vinginevyo wangetamani ardhi ipasuke waingie huko na wapotee kabisa katika uso wa hii dunia.

Tuacheni sisi ndio tumlaumu kwa uovu anaoutuendea/anaoubariki kama huu wa kumtesa Kamanda wa Anga lakini sio nyie SUKUMA GANG mnaofichiwa uovu wenu na wa Mwendazake.

Narudiia,hampaswi kumlaumu huyu Mama kwakuwa anawabeba pakubwa mno kwani Mwendazake amebariki uovu mwingi sana alipokuwa ofisini.

😅😅😅wangekimbiana
 
Naamini hiyo issue iko ndani ya CCM kama chama na kulindana ndio tabia yao, usimsifie mama amewasitiri hao jamaa, bali mama simply anaendeleza "status quo" hakuna jipya kwa alichofanya.

Siku zote wakiamua kumchagua wa kumtoa sadaka wanafanya kama ilivyotokea kwa Sabaya, na wakiamua kumlinda mtu wao wanamlinda kama ilivyo kwa bashite.
 
Mama anawadekeza ndio mana wanapata nguvu ya kumpanda kichwani. Ningekuwa mm ndie Mama yaan Rais, ningefukuza gang yote kuanzia Mawaziri, Wakuu wa mikoa,wakuu wa wilaya, Wakurugenzi, MaRas hadi kwenye vyombo vya ulinzi.

Yaan nikiona harufu tu ya mahusiano ya sukuma gang napiga chini ili tuheshimiane.

Shida ya Mama anataka aonekane hajawasahau kuwa yuko pamoja nao na hilo wanalitumia kama fimbo ya kuchapia ili afanye wanavyotaka.

MAMA PIGA CHINI WOTE HAO WASIKUPANDE KICHWANI.
 
Mama huyu ambaye anasema ma askari wake wana mafunzo hawawezi shindwa kuua. Hawa hawa askari ambao wanasema risasi ya akwelina ilikata kona.

Uzuri ni kwamba wauaji wako wanateseka sahivi na roho zao
 
Uzuri wa watu wa Kanda ya Ziwa ni watu fair sana, ndiyo maana mnawadhalilisha mnavyotaka, nina uhakika kama mtu yoyote angetumia neno ,,Chaga gang“ hii Dunia ingeshasimama, kwanza angeshapigwa ban hapa JF ya maisha na hiyo thread kufutiliwa mbali.

Wachaga ni watu selfish sana (labda siyo wote najua) wao wako sensitive sana ukiwataja tu, lkn wanaona ni sawa kudhalilisha wengine.

Ndo maana hata mmeshauza Chadema kwa CCM, mmewasaliti hata Wachaga wenzenu waliopigania kwa jasho na damu chadema ifikie ilipofikia leo hii mmeuza kila kitu, na 2025 ndiyo mtawajua CCM yote mlioahidiwa hamtopata chochote, mrudi tena Uchagani muanze kuwadanganya tena watu wenu.
 
Hawa jamaa nawashangaa sana kumlaumu Mama kuwa anafanya mambo kinyume na Mwendazake na kwamba anajaribu kuharibu wanachokiita Legacy ya Mwendazake!.

Binafsi najiuliza leo hii Mama angemuru uchunguzi huru wa tukio la Lissu kupigwa risasi, hali ya hawa watu itakuwaje?Je, si wangelala na viatu mitandaoni au wangetembea wamevaa boxer vichwani?

Mimi nadhani wamshukuru sana huyu Mama kumsitiri Mwendazake katika hili vinginevyo wangetamani ardhi ipasuke waingie huko na wapotee kabisa katika uso wa hii dunia.

Tuacheni sisi ndio tumlaumu kwa uovu anaoutuendea/anaoubariki kama huu wa kumtesa Kamanda wa Anga lakini sio nyie SUKUMA GANG mnaofichiwa uovu wenu na wa Mwendazake.

Narudiia,hampaswi kumlaumu huyu Mama kwakuwa anawabeba pakubwa mno kwani Mwendazake amebariki uovu mwingi sana alipokuwa ofisini.

Tuacheni sisi tumlaumu lakini kamwe sio nyie.

La vifaranga cha mtoto.
Mama na Mwendazake kundi moja
 
Jiulize kama angefanya na la chacha wangwe ingekuwaje?
 
Hata kama Samia ataacha lakini atakayefuata atafanya uchunguzi ili ukweli ujulikane. Tatizo lenu mnataka uchunguzi ufanywe ili uprove mnachokitaka. Kuweni neutral na hata kama ni JPM anahusika ndiyo misalaba ya uongozi
 
Uzuri wa watu wa Kanda ya Ziwa ni watu fair sana, ndiyo maana mnawadhalilisha mnavyotaka, nina uhakika kama mtu yoyote angetumia neno ,,Chaga gang“ hii Dunia ingeshasimama, kwanza angeshapigwa ban hapa JF ya maisha na hiyo thread kufutiliwa mbali.

Wachaga ni watu selfish sana (labda siyo wote najua) wao wako sensitive sana ukiwataja tu, lkn wanaona ni sawa kudhalilisha wengine.

Ndo maana hata mmeshauza Chadema kwa CCM, mmewasaliti hata Wachaga wenzenu waliopigania kwa jasho na damu chadema ifikie ilipofikia leo hii mmeuza kila kitu, na 2025 ndiyo mtawajua CCM yote mlioahidiwa hamtopata chochote, mrudi tena Uchagani muanze kuwadanganya tena watu wenu, …
Wameitwa tu watu wa magendo na mbunge wao tayari wameitisha press
 
Back
Top Bottom