Hivi makondakta na TT wa treni wanaajiriiwaje?

kichwabox

Senior Member
Feb 14, 2016
152
40
Hivi makondakta na TT wa treni wanaajiriiwaje??

Maana sijawahi sikia railway wameweka tangazo la ajira mahali popote na treni ina mabewewa mengi na kila behewa lina tt wake au ndio kazi za kurithishana wadau nielewesheni
 
wana chuo chao kipo tabora kwa kanda ya tabora, kgoma na mwanza.. cjui kwingne
 
Hivi makondakta na TT wa treni wanaajiriiwaje??

Maana sijawahi sikia railway wameweka tangazo la ajira mahali popote na treni ina mabewewa mengi na kila behewa lina tt wake au ndio kazi za kurithishana wadau nielewesheni
Umenikumbusha Zamani. Acha tu Yutong ziwe nyingi maana hawa viumbe ukutane nao uko stoloway utajuta.
 
Hivi makondakta na TT wa treni wanaajiriiwaje??

Maana sijawahi sikia railway wameweka tangazo la ajira mahali popote na treni ina mabewewa mengi na kila behewa lina tt wake au ndio kazi za kurithishana wadau nielewesheni
Hivi kweli kila behewa lina tt?
 
Back
Top Bottom