Hivi Makamu wa Rais haruhusiwi kutumbua?

Sexer

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
8,215
7,906
Kama kichwa cha habari kinavyouliza, maana yake huwa naona Rais na Waziri Mkuu ndo wana mishemishe za utumbuaji.

Hata watumishi wa umma huwa hawana kimuhemuhe pindi wanapotembelewa na Vice President tofauti na wanapopata ugeni wa Prime Minister au President.

Tena hata Regional Commissioner na District Commissioner huwafanya watumishi wahahe kuliko Vice Presideng.
 
Yule mama alikuwa Naibu Mwenyekiti Bunge Maalumu la Katiba.
 
Kutumbua ni tabia za wenye roho mbaya kupenda kuona watu wanahaha yeye anakenua
 
Wewe NONIYANG'WAKA mpumbavu uwe na heshima, unajisikia kutamka ujinga kwa mama mtu mzima kiasi kile, mbona mkitukaniwa mama zenu mnakuwa wakali?
 
Back
Top Bottom