Hivi Majukwaa gani humu JF, members wake ni wakorofi na wapole | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi Majukwaa gani humu JF, members wake ni wakorofi na wapole

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Mshume Kiyate, Aug 21, 2011.

 1. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #1
  Aug 21, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Wana Jf,
  Nimejaribu kutembelea Majukwaa mengi humu JF, nimekutana na membes tofauti tofauti.
  Hivi ni Jukwaa gani limetulia na members ambao wachangiaji ni watu wapole na wakarimu, na Jukwaa gani lina members wakorofi na wenye dharau, tuchangie Nawakilisha
   
 2. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #2
  Aug 21, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,914
  Likes Received: 214
  Trophy Points: 160
  Mapenzi, mahusiano na manini sijui, kuna wachangiaji wa aina zote unazohitaji...
   
 3. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #3
  Aug 21, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Kama unauliza i doubt kama kweli umetembelea yote, nadhani kama ungetembelea yote ungejionea na kupata jbu mwenyewe bila hata kuuliza
   
Loading...