Hivi majukumu ya chuo cha utumishi wa umma(tpsc) ni yepi?

Oct 5, 2010
20
0
Chuo cha Utumishi wa Umma (Tanzania Public Service College – TPSC {Tanzania Public Service College - TPSC}), Magogoni, Dar-es-Salaam ni wakala wa serikali aliyeanzishwa mahususi kwa ajili ya kutoa uwezo wa kimaarifa kwa ajili ya watumishi wa umma.
Mimi naona badala ya seminar elekezi ambako pesa za walalahoi na muda wa kazi vinapotea bure, ni bora hawa mawaziri na watendaji wao ni bora wapelekwe pale TPSC wahudurie masomo ya jioni (wakishatoka kazini) kwa muda wa wiki 12.
Watafutiwe wataalam waliobobea katika nyanja za strategic management; public financial management/public finance; organzational behaviour/change management; na human resources management. Mengine ni good governance; management control systems; na report writing & presentation skills. Na itumike system ya CBET (yaani competence based eduation and training) ambako badala ya mwanafunzi kufundishwa kila kitu na mkufunzi, sehemu kubwa anafanya yeye (mwanafunzi). Mkufunzi ni kuwezesha (facilitates) mfumo mzima wa kujifunza. Kila wiki wapewe practical assignments kama kawaida ya mafunzo yoyote yale, wiki ya 13 wanafanya mtihani.
Ni vizuri kila mmoja wao akapewa key performance indicators (KPIs) na akapimwa kwa hizo KPIs kila mwisho wa mwaka. Hii itampunguzia usumbufu Mheshimiwa Rais wetu, maana yaonekana anafundisha masomo asiyoyafahamu!!
 
kusomesha watu waliopata F F F F F F F form four na F F F form six, halafu baadaye wanakuja kuwa ndiyo wakuu wa vitengo mawizarani na kwenye mashirika ya umma.
 
kusomesha watu waliopata F F F F F F F form four na F F F form six, halafu baadaye wanakuja kuwa ndiyo wakuu wa vitengo mawizarani na kwenye mashirika ya umma.

mmh! Mkuu...........
Cyo wote lakin maana kuna jamaa alipata division II form six na aksoma hapo, Sema ishu ipo kwenye Competition ya Ajira.......
 
Back
Top Bottom