Hivi maisha yanawafanyaga nini wadada mpaka mvuto unapotea?

Nyie endeleeni kuwachokoza hawa kina mama tu, watajibu. I bet Housegirl is cooking some for y'all. Don't say you weren't warned.
 
Hii imenitokea sana unakutana mdada mliokuwa unasoma nae, kipindi yuko shule alikuwa anaonekana mrembo kweli alikuwa tishio kwa kila mtu ila ukikuta nae tena mtaani baada ya kupotezana miaka kadhaa dah utashangaa muonekano wake amenyorodoka anaonekana kama mchafu fulani hivi hana mvuto tena yupo yupo.

Kama kipindi upo nae shule ulikuwa unaplan uje kumfanya mke unainua mikono juu na kushukuru Mungu uamuzi wako ulifeli mana muonekano ziro kwasasa. Hivi haya maisha yanawafanyaga nini miaka mi 2 tu mtu anakua hatazamiki mara mbili aiseee, tatizo nini?
Mkuu mwanamke ni kama mgomba. Jinsi unavuojitunza au kitunzwa ndivyo unavyonawiri.

Don't you see Zari.Dinna Marious, na wengine wengi.....

Na sababu zina kuweza kujitunza inategemea na hali ya uchumi, uzazi, Aina ya kazi, asili ya MTU, vile vile kujielewa(uelewa Wa namna ya kujitunza.
 
Mkuu sio maisha kuwapiga .. ona hii
Nikiwa primary nilikuwa na gf wangu mrembo kweli kweli .. sio siri kata nzima hakuwepo wa kumfikia ...
Baada ya muda mi nilitoka kwenda Sekondary na kumuacha kijijini akisoma sekondari ya kata iliyokuwa hapo kwetu. Tulikuwa na mipango mingi sana ya kimaisha. Wazazi wake walikuwa wananifahamu na mimi wazazi wangu walimfahamu huyo mdada.
Nikiwa form IV mwezi Juni dada huyo alikuja shuleni kunitembelea na kuniaga, wazazi wake walimlazimisha kuolewa na tajiri mmoja aliyetokea jijini Dar na kumwaga mapesa mengi kwa wazazi.
Kweli tuliagana, alilia sana, niliumia sana kwani nilijua ndo mwisho wa safari yetu ya mapenzi.

Baada ya miaka miwili nilionana naye akiwa tayari ameishazalishwa mtoto mmoja, alikuwa amenenepa japo sio sana. Tulipanga wapi pa kukutana na kukumbushiana na hilo lilitendeka kama tulivyopanga.

Baada ya miaka kama 10 hivi, mdada huyo alinipigia simu akiwa hotelini akitaka niende nionane naye kwani ni siku nyingi tumeonana ... jamani ...
Nilikutana na kiumbe wa ajabu ... mkono mkubwa kama paja, kiuno hakipo tena, shingo haionekani, mguu mkubwa sana, mashavu .. dah! Aliponitambulisha kwa marafiki zake .. kwanza walikataa kwamba anawatania .. mi nilionekana bado kijana wakati yeye alionekana jimama .... Sikuwa na hamu hata ya kumwambia kuonana naye faragha ... ilibidi ninunue bia nyingi ili nivunge kulewa na kutoroka. Sitaki tena hata kuonana na kiumbe huyo.
KUMBE YA MUNGU MENGI YA SHETANI MACHACHE

Wadada kubadirika sio kupigwa kimaisha ni kujiachia
Aiseee.....! Afadhali Mungu aliamua kukuepusha na dhambi ya kupasha kiporo kwa kukubadili macho na namna ya kumjudge.....
 
Nimesema hivi.....
Sinto sema lolote, kwasababu naona binti yangu ameanza kua msichana.
Sitaki kurusha jiwe likanigeukia
Sema na bint yako....Namna ya kujitunza....la sivyo ukimya wako hapa hautasaidia
 
Mkuu sio maisha kuwapiga .. ona hii
Nikiwa primary nilikuwa na gf wangu mrembo kweli kweli .. sio siri kata nzima hakuwepo wa kumfikia ...
Baada ya muda mi nilitoka kwenda Sekondary na kumuacha kijijini akisoma sekondari ya kata iliyokuwa hapo kwetu. Tulikuwa na mipango mingi sana ya kimaisha. Wazazi wake walikuwa wananifahamu na mimi wazazi wangu walimfahamu huyo mdada.
Nikiwa form IV mwezi Juni dada huyo alikuja shuleni kunitembelea na kuniaga, wazazi wake walimlazimisha kuolewa na tajiri mmoja aliyetokea jijini Dar na kumwaga mapesa mengi kwa wazazi.
Kweli tuliagana, alilia sana, niliumia sana kwani nilijua ndo mwisho wa safari yetu ya mapenzi.

Baada ya miaka miwili nilionana naye akiwa tayari ameishazalishwa mtoto mmoja, alikuwa amenenepa japo sio sana. Tulipanga wapi pa kukutana na kukumbushiana na hilo lilitendeka kama tulivyopanga.

Baada ya miaka kama 10 hivi, mdada huyo alinipigia simu akiwa hotelini akitaka niende nionane naye kwani ni siku nyingi tumeonana ... jamani ...
Nilikutana na kiumbe wa ajabu ... mkono mkubwa kama paja, kiuno hakipo tena, shingo haionekani, mguu mkubwa sana, mashavu .. dah! Aliponitambulisha kwa marafiki zake .. kwanza walikataa kwamba anawatania .. mi nilionekana bado kijana wakati yeye alionekana jimama .... Sikuwa na hamu hata ya kumwambia kuonana naye faragha ... ilibidi ninunue bia nyingi ili nivunge kulewa na kutoroka. Sitaki tena hata kuonana na kiumbe huyo.
KUMBE YA MUNGU MENGI YA SHETANI MACHACHE

Wadada kubadirika sio kupigwa kimaisha ni kujiachia

Hahaha umenivunja mbavu mkuu nimeita ambulance inepeleke hospital maana sijiwezi... ati ulikutana na kiumbe wa ajabu... Hahaha ukanunua bia nyingi uvunge umelewa umetoroka!!! Aisee
 
Yawezekana alikuwa mrembo na sio mzuri.

Maisha yana changamoto sana, yawezekana pia kapata emotional breakdown au kachomoa ujauzito.

Mambo hayo huwafanya wanawake watoke from hero to zero.

Hizo sababu mbili ulizotaja ndiyo chanzo mara nyingi.
 
Sababu ni:-

1) Maisha magumu kwahiyo binti anashindwa kujitunza kwasababu akishakuwa basi wazazi wanaacha kumtunza saana kama alivyokuwa kabinti kadogo

2) kutokujijali mfano kufanya mazoezi n.k

3) Utoaji wa Mimba (Abortion) na ngono kupita kiasi pia inamchosha binti.

Hata kwa wanaume huwa inatokea, ila kimaumbile mwanamke ndio atabadilika haraka na inakuwa rahisi kutambua hilo.
 
Back
Top Bottom