jitwangabalogi
JF-Expert Member
- Aug 8, 2018
- 329
- 385
Salaam wakuu...
Ndugu yenu nipo njia panda, nashindwa kujua Kati ya maraisi waliopita na mifumo yao ya uongozi waliouacha na rais aliyepo sasa na mifumo yake... Je waliopita walikuwa sahihi au huyu aliyepo sasa ndie sahihi!?
Maana naona hii panga pangua ya mkuu kila kukicha ni tatizo LA mifumo yake na aliyoikuta, sijui kama atafanikiwa au atafeli... Sijui... Ngoja niendelee kutazama, lakini swali LA msingi je rais Magufuli na mifumo yake je yupo sahihi au waliomtangulia ndio walikuwa sahihi!?