Lyamber
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 11,716
- 18,753
JKNIA ndo kiwanja kipi mkuu au ulimaania JNIA?Karibu hapa JKNIA nipo mzigoni nikutembeze ujionee
JKNIA ndo kiwanja kipi mkuu au ulimaania JNIA?Karibu hapa JKNIA nipo mzigoni nikutembeze ujionee
Namàanisha JKNIAJKNIA ndo kiwanja kipi mkuu au ulimaania JNIA?
Kwaio ni Jomo Kenyata sio?Namàanisha JKNIA
JKIA hii ndo JomoKwaio ni Jomo Kenyata sio?
HaaahaaaNitamjibu kesho kama akiniuliza tena maana nilipokea cm uwongo ili nimpotezee
Zinatumia mafuta ya popo na bundi.Hili swali nimeulizwa na madogo hapa kota ninakokaa baada ya helikopta kupita chini chini wakawa wanaishangilia ndipo alipotoka dogo mmoja akaniuliza helikopta inatumia mafuta gani?
Nilitaka kumjibu diesel au petrol nikajikuta namumunya maneno bila kutoa jibu sahihi..
Naomba kujizwa wakuu