Hivi mafuta ya helikopta ni sawa na ya ndege?

Mafuta ya ndege ndogo yanaitwa AVGAS
Ndege kubwa yanaitwa JET A-1
AVGAS- Yanafanana na Petrol
JET-A-1 Yanafanana na Mafuta ya Taa
 
Hili swali nimeulizwa na madogo hapa kota ninakokaa baada ya helikopta kupita chini chini wakawa wanaishangilia ndipo alipotoka dogo mmoja akaniuliza helikopta inatumia mafuta gani?

Nilitaka kumjibu diesel au petrol nikajikuta namumunya maneno bila kutoa jibu sahihi..

Naomba kujizwa wakuu
Zinatumia mafuta ya popo na bundi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom