Hivi mafisadi wapo hata CCM?

mwembemdogo

JF-Expert Member
Feb 28, 2016
2,282
1,251
Kuna thread humu JF, inayosema CCM mpya yaja na kazi yake kubwa itakuwa kuwaondoa mafisadi na wasaliti.Nimekuwa najiuliza kumbe CCM inajijua kuwa ndani yake kuna mafisadi?

Niliamini in chama safi hakina mafisadi na wakati wa kampeni wanaccm walikuwa wanasema fisadi ni Lowassa yuko CHADEMA kumbe hata CCM wapo.Hata hivyo bado siamini kama CCM inayokuja itaweza kuwatoa hao mafisadi kwani ndio wenye CCM, kidumu chama cha mapinduzi.
 
Kuna thread humu JF inayosema CCM mpya yaja Na Kazi yake kubwa itakuwa kuwaondoa Mafisadi Na Wasaliti.Nimekuwa najiuliza kumbe CCM inajijua kuwa ndani yake kuna MAFISADI?Niliamini in Chama Safi hakina Mafisadi Na wakati wa kampeni wanaccm walikuwa wanasema Fisadi in Lowassa yuko Chadema kumbe hata CCM wapo.Hata hivyo bado siamini kama CCM inayokuja itaweza kuwatoa hao Mafisadi kwani ndio wenye CCM, KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI

Hakuna haja ya kuuliza rangi ya mkaa
 
Ndo yamejaa na mengi yameteuliwa kuwa wakurugenzi .....na sasa mkuu kawaambia pesa wazitafune bila shaka....
 
Kuna thread humu JF, inayosema CCM mpya yaja na kazi yake kubwa itakuwa kuwaondoa mafisadi na wasaliti.Nimekuwa najiuliza kumbe CCM inajijua kuwa ndani yake kuna mafisadi?

Niliamini in chama safi hakina mafisadi na wakati wa kampeni wanaccm walikuwa wanasema fisadi ni Lowassa yuko CHADEMA kumbe hata CCM wapo.Hata hivyo bado siamini kama CCM inayokuja itaweza kuwatoa hao mafisadi kwani ndio wenye CCM, kidumu chama cha mapinduzi.

Wataweza kumgusa yule Mwenyekiti wa Bunge aka Mzee wa Vijisenti??Au Lugumi??
 
Back
Top Bottom