Haya maeneo yanahitajika kwa kile kiitwacho environmental service to the environment. Kwamba mazingira yanakawaida ya kujihudumia katika mambo ambayo huenda binadamu hatuoni umhimu wake.Hivi sasa kuna operesheni bomoabomoa inayoendelea hasa maeneo ya mabondeni jijini,najiuliza serikali imepanga kufanyia shughuli gani maana yasije yakawa vichaka vya uhalifu na mapango ya wanyang'anyi,mwenye idea kuhusu hili anijuze.
Unayajua mabonde mangapi yaliyopo nchini, na je yote hayo wanaishi wahalifu na wanyang'anyi??Hivi sasa kuna operesheni bomoabomoa inayoendelea hasa maeneo ya mabondeni jijini,najiuliza serikali imepanga kufanyia shughuli gani maana yasije yakawa vichaka vya uhalifu na mapango ya wanyang'anyi,mwenye idea kuhusu hili anijuze.