Usedcountrynewpipo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,638
- 2,720
Msanii madee ametamba kwenye wimbo wake mpya wa 'Migulu pande' kuwa anamiliki watoto wakali kama yule mtu wa Kale (I bet hapa anamzungumzia Le Mutuz na mabebez wake).
Sasa out of curiosity nimetamani kuvifahamu vifaa vya Madee nione kama kweli vina kiwango cha Le Mutuz Nation.
Sasa out of curiosity nimetamani kuvifahamu vifaa vya Madee nione kama kweli vina kiwango cha Le Mutuz Nation.