Hivi Madee anatoka na demu gani mkali?

Usedcountrynewpipo

JF-Expert Member
Aug 1, 2012
3,638
2,720
Msanii madee ametamba kwenye wimbo wake mpya wa 'Migulu pande' kuwa anamiliki watoto wakali kama yule mtu wa Kale (I bet hapa anamzungumzia Le Mutuz na mabebez wake).
Sasa out of curiosity nimetamani kuvifahamu vifaa vya Madee nione kama kweli vina kiwango cha Le Mutuz Nation.
 
140447.jpg

NIFAH.

SWISSME
 
Huyo si alikuwa anatoka na mnuka kwapa mmoja hivi anaitwa Mina Shabani....anakaa pande za Mabatini huko.
 
Sema umekuja kuupigia promo huo wimbo mpya, lakini sorry mi siwezi kujishughulisha na wimbo unaitwa Migulu Pande.
 
Ndio maana Shilole kasema wanaume wa Dar hawawezi kushughulika ipasavyo? Madee katutia aibu. Kasababisha tutukanwe wote.
hana lolote Huyo shilole s aseme hajui mapenzi!!MTU wa igunga hukooo kashazoea kupandwa km ng'ombee!!
 
hana lolote Huyo shilole s aseme hajui mapenzi!!MTU wa igunga hukooo kashazoea kupandwa km ng'ombee!!


Shilole anataka show ya kibabe, Madee pombe na sigara dakika mbili tu anahema kama kakabwa. Ndio maana mazereu yote haya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom