augustino ameri
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 267
- 57
kuna watu wengi wanaofanya kazi ya udalali wengine wana ofisii zimeandikwa dalali wa vyumba,wa viwanja,wa nyumba wa mashamba wa mazao.Pia wengine hawana ofisi lakini ni wadau wakubwa na wanamaeneo yao ,ningependa kujua hivi hawa hulipa kodi?