Hivi Madaktari hamna njia mbadala ya kupima njia ya uzazi ya mama mjamzito?

MartinCoder

JF-Expert Member
Feb 20, 2018
700
629
Hivi nyie Madaktari hamna njia mbadala ya kupima njia ya uzazi ya mama wajawazito tofauti na kudumbukiza mkono mzima kwenye vidudu vya wake zetu?

Hiyo njia yenu ya kuingiza mikono kwenye uke inawaumiza na inawakera wajawazito wengi sema tu hawana jinsi.

Tafuteni njia mbadala.
 
Ukija na Mkeo hospitali anakwambia Baki nje

Anaingia ndani unabaki nje huku ukijua anaenda kumvua Mkeo chupi anatumbukiza vidole kwenye Uke wa Mke wako nawe upo nje unasubiri

Bora hiyo njia ya kupima njia ifundishwe tupime wenyewe wake zetu then tunawapa majibu
 
Hivi nyie Madaktari hamna njia mbadala ya kupima njia ya uzazi ya mama wajawazito tofauti na kudumbukiza mkono mzima kwenye vidudu vya wake zetu?

Hiyo njia yenu ya kuingiza mikono kwenye uke inawaumiza na inawakera wajawazito wengi sema tu hawana jinsi.

Tafuteni njia mbadala.
Mkuu hii ni kweli ama chai?
 
Back
Top Bottom