Gosbertgoodluck
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 2,855
- 401
Jamani ilikuwa ukifika maeneo ya nyegezi mwanza ilikuwa inakera sana kuona msururu wa mabango ya masha yakiomba kura kibubububu.. Je, bado yapo mitaani? Au anaona aibu kuyaondoa?????
Mwambie ayatoe hayana maana tena, aende akalale au amfuate rafiki yake JK AMTAFUTIE KAZI ZA KUFANYA.
Lakini anayo Law Firm yake iliyo sajili DEEPGREEN na KAGODA Companies, mishiko kwake si shida.
Nimtaalamu wa kutengeneza madeals.