Hivi Maandamano Yanaogopwa Hivi? Ningekuwa Mimi, Ningewaruhusu na Ulinzi Ningewapa na Kuwakaribisha Ikulu!.

Magufuli ni empty minded sana ktk suala zima la public administration!! Then anaamini vitisho ni tiba kwa karne hii ajifunze kwa Gadafi!!

Kwa sie wataalamu wa psychology tumeng'amua Magufuli ana extremely fear na sijui inatokana na nini kwa mtu anayejinasibu kupendwa!!
Sema ni empty set kabisa

Eti amiri jeshi mkuu anakuwa na wasiwasi utafikiri diwan wa upinzan aliyegoma kununuliwa.
 
Wanabodi,

Nimeogopeshwa na lugha kali za kuyapinga maandamano ya huyu dada!, kumbe anaogopwa hivi?. Yaani anahamasisha maandamano ya mtandaoni kupindua nchi, halafu watu wanatishika na kuyapiga marufuku kwa lugha kali kabisa!.

Kiukweli ningekuwa ni mimi, kwa jinsi rais Magufuli anavyokubalika, ningeyaruhusu hayo maandamano, tena ningewapatia ulinzi!. Hata yale maandamano ya UKUTA yaliyokuwa ni maandamano ya nchi nzima, na mikutano ya non stop ya nchi nzima, ningekuwa mimi, ningeruhusu tuu, ili kuyatumia maandamano hayo kupima kiwango cha joblessness yetu kwa kupima ni ni watu wangapi wasio na kazi, wenye muda wa kuandamana maandamano y non stop na kuhudhuria mikutano nchi nzima kutwa kuccha!.

Kwa maoni yangu, dada amepewa promo na undue attention kubwa ya bure isiyo na sababu, kwa Watanzania ninaowafahamu mimi, kuna Watanzania gani wa kuandamana kupindua nchi?!. Hivi kweli hayo maandamano yalikuwa ni tishio hivi kiasi cha kutolewa kwa kauli kali hivi za kuyapinga?.

Mhe. Rais Magufuli, waite wapinzani uwakaribishe Ikulu, wapige juice na vitavunwa kama alivyokuwa anafanya mtangulizi wako JK, ila sio kuwaomba wajitoe vyama vyao na kujiunga CCM kama ulivyomuita Lowassa, bali zungumza nao, zisikilize hoja zao, waache watoe dukuduku zao, waahidi utazishughulikia.

Lengo la hatua hii sio kuonyeshana nani Zaidi, mtu ambaye ni Zaidi, siku zote ni Zaidi, hana haja ya kuzungumza kwa lugha za ukali sana kuonyesha yeye ni Zaidi, hata akizungumza kwa upole tuu kwa kutumia pasuasive language kama JK, bado atabaki ni Zaidi, uzoefu unaonyesha watu wakiishaalikwa Ikulu. wakanywa juice, chai na vitafunwa, siku zote wakitoka huwa wanatoka huku wana smile, hata Lowassa mwenyewe, tangu siku ile umemkaribisha Ikulu, he is not the same Lowassa, huwezi kuamini ni Lowassa huyu aliyesema maneno haya,
Kama Hii ni Kweli, Then, Serikali ya Magufuli ni Serikali Haramu. Hukumu ya Karma ii Juu Yake!.
ndiye Lowassa huyu huyu aliyeitwa Ikulu na kutoka ana smile!.

Wakaribishe wapinzani juice ya Ikulu wakiisha kunywa juice ya Ikulu na vitafunwa, wata easy the tension, wataondoka with big smile na ni wao wenyewe wata call off maandamano yao. Kama Uhuru na Odinga Wameweza, sisi tunashindwa nini?.

Paskali
Umenena.Kiongozi ambaye ni mtumishi wa wananchi hawezi kuogopa maandamano.Uongozi wake unatia shaka.Maandalizi yanafanyika ughaibuni full povu.Hii dalili ya uoga what I know watanzania ni wapole sana,bahati mbaya wamepata viongozi katili wasio na busara.Hii ni dalili ya kushindwa.
 
Hivi eti? Huyu jamaa kumbe mwoga tu, ndo maana ameanza kuitwa Mhutu
 
Huo utafiti kufikia hiyo hitimisho uliufanya lini ama kuweka majina mengi ya bandia mtandaoni unaona kama mpo wengi.
Mku ktk timu mbili shindani uliona wapi kocha anakuwa wa upande mmoja.
Kumbuka hata wanaharakati wamefungua kesi mahakama kuu kwa ajili ya kupata tafri
Paskali mi na marafiki zangu tutaandamana mpka kwako tuandalie biriani na maji ya machungwa.tegemea ugeni jumapili

Huo utafiti kufikia hiyo hitimisho uliufanya lini ama kuweka majina mengi ya bandia mtandaoni unaona kama mpo wengi.
 
Wanabodi,

Nimeogopeshwa na lugha kali za kuyapinga maandamano ya huyu dada!, kumbe anaogopwa hivi?. Yaani anahamasisha maandamano ya mtandaoni kupindua nchi, halafu watu wanatishika na kuyapiga marufuku kwa lugha kali kabisa!.

Kiukweli ningekuwa ni mimi, kwa jinsi rais Magufuli anavyokubalika, ningeyaruhusu hayo maandamano, tena ningewapatia ulinzi!. Hata yale maandamano ya UKUTA yaliyokuwa ni maandamano ya nchi nzima, na mikutano ya non stop ya nchi nzima, ningekuwa mimi, ningeruhusu tuu, ili kuyatumia maandamano hayo kupima kiwango cha joblessness yetu kwa kupima ni ni watu wangapi wasio na kazi, wenye muda wa kuandamana maandamano y non stop na kuhudhuria mikutano nchi nzima kutwa kuccha!.

Kwa maoni yangu, dada amepewa promo na undue attention kubwa ya bure isiyo na sababu, kwa Watanzania ninaowafahamu mimi, kuna Watanzania gani wa kuandamana kupindua nchi?!. Hivi kweli hayo maandamano yalikuwa ni tishio hivi kiasi cha kutolewa kwa kauli kali hivi za kuyapinga?.

Mhe. Rais Magufuli, waite wapinzani uwakaribishe Ikulu, wapige juice na vitavunwa kama alivyokuwa anafanya mtangulizi wako JK, ila sio kuwaomba wajitoe vyama vyao na kujiunga CCM kama ulivyomuita Lowassa, bali zungumza nao, zisikilize hoja zao, waache watoe dukuduku zao, waahidi utazishughulikia.

Lengo la hatua hii sio kuonyeshana nani Zaidi, mtu ambaye ni Zaidi, siku zote ni Zaidi, hana haja ya kuzungumza kwa lugha za ukali sana kuonyesha yeye ni Zaidi, hata akizungumza kwa upole tuu kwa kutumia pasuasive language kama JK, bado atabaki ni Zaidi, uzoefu unaonyesha watu wakiishaalikwa Ikulu. wakanywa juice, chai na vitafunwa, siku zote wakitoka huwa wanatoka huku wana smile, hata Lowassa mwenyewe, tangu siku ile umemkaribisha Ikulu, he is not the same Lowassa, huwezi kuamini ni Lowassa huyu aliyesema maneno haya,
Kama Hii ni Kweli, Then, Serikali ya Magufuli ni Serikali Haramu. Hukumu ya Karma ii Juu Yake!.
ndiye Lowassa huyu huyu aliyeitwa Ikulu na kutoka ana smile!.

Wakaribishe wapinzani juice ya Ikulu wakiisha kunywa juice ya Ikulu na vitafunwa, wata easy the tension, wataondoka with big smile na ni wao wenyewe wata call off maandamano yao. Kama Uhuru na Odinga Wameweza, sisi tunashindwa nini?.

Paskali
Maandamano sio shida ila shida ni dhumuni la maandamano ni kumng'oa hii ndo shida jazba lazma impande
 
Coverage za international media zitasaidia kupaaza sauti zinazokandamizwa nchini. Maandamano ndiyo jawabu.
Hamjifunzi tu kuna coverage ndogo kama ya 2001 kule zanzibar ama unawaona cuf wajinga hawataki tena kusikia neno maandamano. Kama ulikua hujazaliwa ama ulikua mchanga ingia youtube uone bbc cnn nc ap walivyo yarusha matangazo maana ulikua uchaguzi hivyo kulikua na vyombo vingi vya nje na watu kama 300 waliuawa na polisi mbele ya lensi za cnn.

Msidanganye wenzenu huku ninyi mpo nje ya nchi labda makaratasi yamegoma mnataka kurahisishha makaratasi yenu kwa damu za wenzenu kama wanzibar walivyopata makaratasi miaka ile.
 
Umenena.Kiongozi ambaye ni mtumishi wa wananchi hawezi kuogopa maandamano.Uongozi wake unatia shaka.Maandalizi yanafanyika ughaibuni full povu.Hii dalili ya uoga what I know watanzania ni wapole sana,bahati mbaya wamepata viongozi katili wasio na busara.Hii ni dalili ya kushindwa.
Yaani watanzania walivyo waoga wanapewa vitisho kiasi hiki. Je wangekuwa violent kama wakenya magufuli si angekimbilia exile muda mrefu sana.
 
Back
Top Bottom