Hivi Maalimu Seif aliongea nini raisi Magufuri.Mwenye kujua aje ajibu hapa

juvenile davis

JF-Expert Member
Apr 13, 2015
4,589
2,000
Mwaka unakatika ila nina swali moja tu la kisiasa ambalo hadi leo sijapata jawabu.kama niwafuatiliaji wote mnakumbuka,sina kumbukumbu ya tarehe ila nakumbuka tu baada ya matokeo ya uchaguzi mwaka jana ya Zanzibar kuwa nullified ,kuna wakati Seif alikuja Dsm ikulu ambako walifanya mazungumzo ya siri na raisi JPM.hadi leo natamani kujua waliongea nini?
 
Void ab initio

JF-Expert Member
Mar 1, 2015
5,653
2,000
Anyoe ndevu, afuge ndevu. Ajifungie hotelini, azurure. Eti wanasema ntashtakiwa, wee nani ashitakiwe. Uchaguzi ni 2020.
"Kweli busara inahitajika"
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
13,324
2,000
Mwaka unakatika ila nina swali moja tu la kisiasa ambalo hadi leo sijapata jawabu.kama niwafuatiliaji wote mnakumbuka,sina kumbukumbu ya tarehe ila nakumbuka tu baada ya matokeo ya uchaguzi mwaka jana ya Zanzibar kuwa nullified ,kuna wakati Seif alikuja Dsm ikulu ambako walifanya mazungumzo ya siri na raisi JPM.hadi leo natamani kujua waliongea nini?
Alimwambia Haitajokea Wewe Kuwa Rais, Na Ukileta Ujinga Hata Ruzuku Unayopata Na Pesa Na Stahiki Unazozitaka Kama Makamu Wa Rais Mstaafu Utazikos
 
mdukuzi

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
5,826
2,000
aliambiwa nchi haitolewi kwa wapinzani kwa vikaratasi vya kupigia kura,hata sadam hussein wa libya na gadafi wa kuwait wanajua
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom