Hivi maadui hawa tumweweza kuwatokomeza kwa kiasi gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi maadui hawa tumweweza kuwatokomeza kwa kiasi gani?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by harakat, Nov 3, 2011.

 1. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #1
  Nov 3, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Baba wa Taifa jf nyerere alitambua kwamba
  MARADHI
  UJINGA
  umasikini
  Ni maadui zetu lakini cha kushangaza
  mpaka sasa maadui zetu hawa wameendelea kuwa
  nasi hadi hivi leo ndio maana utakuta wabunge wetu wanatibiwa
  huko India maradhi haya sio kitu kingine
   
Loading...