Hivi Lwaitama alipotelea wapi?

Mapambano Yetu

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
1,124
2,092
Siku hizi hasikiki kwenye media huyu jamaa.. Tumekumiss Dr Lwaitama njoo utuchambulie utendaji wa serikali yetu maana hali si shwari. Labda kwa sababu na wewe ni mdau wa UD utasikilizwa.
 
Yuko chuo kimoja uchwara kinaitwa Josiah Kibira Bukoba..ni chuo kishiriki cha Tumaini kachoka hana mbele wala nyuma
 
Yuko chuo kimoja uchwara kinaitwa Josiah Kibira Bukoba..ni chuo kishiriki cha Tumaini kachoka hana mbele wala nyuma
1. acha dharau uchwara wa chuo hiki ni nini?
2. Halafu mtu akiwa hana mbele wala nyuma maana yake nini? Kwa mfano nikisema wewe una nyuma kuuubwa sana lakini kambele kadooogo nitakuwa namaanisha nini?
 
1. acha dharau uchwara wa chuo hiki ni nini?
2. Halafu mtu akiwa hana mbele wala nyuma maana yake nini? Kwa mfano nikisema wewe una nyuma kuuubwa sana lakini kambele kadooogo nitakuwa namaanisha nini?
Unakifahamu icho chuo ndugu?.Mimi ni lecturer hapa tuna miezi minne hatujapata mshahara.Wanafunzi wana mwezi sasa kwenye semister ya pili hawajapata matokeo ya semister ya kwanza.
 
Unakifahamu icho chuo ndugu?.Mimi ni lecturer hapa tuna miezi minne hatujapata mshahara.Wanafunzi wana mwezi sasa kwenye semister ya pili hawajapata matokeo ya semister ya kwanza .Nyuma kubwa unayo wewe pum.....
1. Madaktari, walimu, polisi wote wanacheleweshewaga mishahara sasa ndio kusema taasisi hizi ni uchwara? Mbona huna hoja za kisomi zinazoreflect status yako kama mhadhiri? Mhadhiri makini hawezi kudai mahali pake pa kazi ni uchwara kisa kacheleweshewa mshahara.
2. Habari za nyuma na mbele umezileta wewe mwenyewe na bado hujaelezea mtu akiwa hana mbele wala nyuma anakuwajekuwaje, usipaniki mkuu
 
Unakifahamu icho chuo ndugu?.Mimi ni lecturer hapa tuna miezi minne hatujapata mshahara.Wanafunzi wana mwezi sasa kwenye semister ya pili hawajapata matokeo ya semister ya kwanza.
Sasa unafanya nini kwenye chuo uchwara? Na wewe ni lecturer uchwara tu. Miezi minne hujapata mshahara unaishije hapo. Kwanini usijiajiri na wewe una taaluma yako?
 
labda na yeye ametumwa kutibiwa
Mkuu nimecheka kwa nguvu sana:D:D:D Maana nilisikiliza ile clip mkuu wetu alisema amemtuma kinana India kwa Matibabu niliguna huku yeye akicheka sasa na mimi ndio Nimecheka:D:D:D Tuendelee kuwa na Raisi huyu huyu hata miaka 23 hatuna kitu lakini tunapata raha na raha ndio maisha so lets get on
 
2020 anatawazwa kuwa mbunge was chato kupitia chadema
 
Unakifahamu icho chuo ndugu?.Mimi ni lecturer hapa tuna miezi minne hatujapata mshahara.Wanafunzi wana mwezi sasa kwenye semister ya pili hawajapata matokeo ya semister ya kwanza.
Ghwe kilumyana ughwe leka ubhutungulu...
 
Unakifahamu icho chuo ndugu?.Mimi ni lecturer hapa tuna miezi minne hatujapata mshahara.Wanafunzi wana mwezi sasa kwenye semister ya pili hawajapata matokeo ya semister ya kwanza.
Hii inafurahisha, institution inayokulisha unaiita uchwara. Kwani nawe u - uchwara sidhani. Nafikiri unawapakazia tu.
Kama wewe ni lecturer halafu majibu hayajatoka-tumuulize nani?
 
Back
Top Bottom