mwembemdogo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 2,282
- 1,252
Wadau mie nashindwa kuamini kuwa Lugumi ni mfupa mgumu Kutafunika Kwa Serikali Yetu ya awamu ya 5.
Serikali ambayo haitaki wala kusikia Ufisadi katika Mali za umma. Naamini Mh.Magufuli analivutia pumzi sakata la Lugumi kwani linatia dosari katika moja ya vyombo nyeti vya Serikali.
Tunakuomba Mh.Rais hebu tegua mtego wa Lugumi ili Serikali yako iendelee kupata Heshima."Hapa Kazi Tu"